Pre GE2025 Dkt . Mpango: Nataka kuishi zaidi. Je, katishwa na nani?!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Kuna nini ndani ya kuhitaji kuishi ziada kwa Dk Mpango?

Seems ameona akiwa ndani ya mfumo maisha yake yapo hatarini-kwanini yawe?!

Na kwa nini Rais Samia alijihami na kusema hitaji la Dk Mpango kutaka apumzike halichangizwi na masuala ya kazi?!

????
 
Jamani, mtu asijali afya yake? Mtu anaona afya ina kongoroka hivyo hatoweza kutekeleza majukumu yake ipasavyo
 
Wabongo kwa ramli hamjambo
Tafuteni hela yeye anazo za kutosha 😄
 
anahofu kwasababi secret mafias wa ccm wapo kazini.

walipiga U-turn wakanyooka na expert mafia jpm. yani mafia kwa mafia walimalizana
 
Kuna nini ndani ya kuhitaji kuishi ziada kwa Dk Mpango?

Seems ameona akiwa ndani ya mfumo maisha yake yapo hatarini-kwanini yawe?!

Na kwa nini Rais Samia alijihami na kusema hitaji la Dk Mpango kutaka apumzike halichangizwi na masuala ya kazi?!

????
Mzee Mpango akili kubwa mikikimikiki ya kisiasa na afya yake kiujumla wanafamilia kumekaa tukatafakari tumemwambia Baba tunakupenda zaidi njoo nyumbani tule matunda ulichovuna kwenye uongozi na siasa kwa sasa kinatutosha, siri ya mtungi aijuae kata
 
Back
Top Bottom