Pre GE2025 Dkt . Mpango: Nataka kuishi zaidi. Je, katishwa na nani?!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wala hata hamaanishi maisha yake hatarini kutoka kwa watu, bali yapo hatarini labda kwa sababu za kiafya.

Kwa mfano, kwa jinsi mfumo wetu wa siasa na maisha kwa ujumla, ukiwa kiongozi wa juu unaweza kupata msongo wa mawazo, na hatimaye presha, moyo mwisho kifo.

Watanzania hatueleweki tunataka nini! Ukifanya hivi, wanataka vile, ukifanya vile, wanataka hivi. Sasa ukiwa kiongozi unayejali wananchi wako lazima watakusababishia magonjwa kwa sababu utakuwa unaumia na kuona mbona wanakukwamisha!

Ila ukiwa kiongozi bora liende, kwa Tanzania ni sehemu sahihi mana unakuwa unawapiga pesa na unawadanganya tu!
 
Samia ni mafia
Na hizi ni baadhi ya lugha zake:

Haya ndugu wajumbe tulieni pale nyuma wajumbe tukae kimya...

Sikilizeni basi kwanza sijamaliza...

Wajumbe tukae kimya rudini kwenye mafasi zenu wajumbe...

Mimi naongea na wewe unaongea si umeshamaliza kusema? Haaaya niache na mimi niseme sasa...

Haya tumekusikia ila Mimi ndio mwenyekiti wa huu mkutano na hapa hakuna jambo la siri km unataka sema hapa hapa...

Haya nimesikia kuna mjumbe mwingine anataka kuengeza neno lake, Mwasi Mwasi km nitakua sijakose Mwasi uje utoe neno na wewe....

Mafian cartel
 
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani- Kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…