Dkt. Mpango: Nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi Machi

Dkt. Mpango: Nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi Machi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021.

Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa.

Kwa sasa Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais.

Kila zama na kitabu chake

Maendeleo hayana vyama!
 
Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021.

Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa.
Kwa sasa Dr Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais.

Kila zama na kitabu chake

Maendeleo hayana vyama!
Covid 19 wasilipwe, tumbiri afe njaa
 
Eti Rambirambi zimeenda wapi?

Aliskika p liquid akiuliza
 
Naagiza
Mishahara ya wabunge hao itumike kulipa walimu madai yao na wale waliopokea warudishe nusu ili kukamilisha malipo hayo.

Hivi vyote vifanyike kabla ya mei mosi ili ikifika hiyo mei mosi nitangaze neema nyingine kubwa kubwa kwa wote
 
Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021.

Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa.
Kwa sasa Dr Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais.

Kila zama na kitabu chake

Maendeleo hayana vyama!
Watulie tu mishahara yao tumetumia kumtembeza shujaa wa Africa aliyewafanya waingie bungeni kiulaini
 
Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021.

Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa. Kwa sasa Dr Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais.

Kila zama na kitabu chake

Maendeleo hayana vyama!
Punguza Wabunge hewa 19 ili mishahara itoshe!
 
Wabunge waoneshe umoja na wasamehe tu huo mshahara wa Mwezi March, umetumika kufanya miradi ya kutupeleka katika uchumi wa kati na kufanya mazishi ya mpendwa wao Magufuli.
Halafu wao na Familia yao watakula nini. Au unaona ni rahisi tu mtu kusamehe hela.
 
Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021.

Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa.

Kwa sasa Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais.

Kila zama na kitabu chake

Maendeleo hayana vyama!
Lakini pesa ziko kwenye viroba nyumbani kwa watu.. Aibuu!!!
 
Sasa nimeelewa kumbe manyani yaliyotajwa na Ndugai kumbe ni wale covid 19 pale bungeni na huenda ndiyo lengo la kutolipwa mishahara ili wawaengue.

Hakika mkulima wa mahindi kashakufa na ni wakati wa kurudi porini kula mizizi. Safi sana mama endelea kusafisha nchi.
 
Back
Top Bottom