johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Covid 19 wasilipwe, tumbiri afe njaaWaziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021.
Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa.
Kwa sasa Dr Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais.
Kila zama na kitabu chake
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa......!Covid 19 wasilipwe, tumbiri afe njaa
Watulie tu mishahara yao tumetumia kumtembeza shujaa wa Africa aliyewafanya waingie bungeni kiulainiWaziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021.
Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa.
Kwa sasa Dr Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais.
Kila zama na kitabu chake
Maendeleo hayana vyama!
Punguza Wabunge hewa 19 ili mishahara itoshe!Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021.
Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa. Kwa sasa Dr Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais.
Kila zama na kitabu chake
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee wahurumie Dr Mashinji Kafulila na Salum Mwalimu!Punguza Wabunge hewa 19 ili mishahara itoshe!
Halafu wao na Familia yao watakula nini. Au unaona ni rahisi tu mtu kusamehe hela.Wabunge waoneshe umoja na wasamehe tu huo mshahara wa Mwezi March, umetumika kufanya miradi ya kutupeleka katika uchumi wa kati na kufanya mazishi ya mpendwa wao Magufuli.
Weeeeee!!! Wataandamana na vile vitambi vyao mchana wa lile jua kali la Dodoma!! 😇Wabunge waoneshe umoja na wasamehe tu huo mshahara wa Mwezi March, umetumika kufanya miradi ya kutupeleka katika uchumi wa kati na kufanya mazishi ya mpendwa wao Magufuli.
Lakini pesa ziko kwenye viroba nyumbani kwa watu.. Aibuu!!!Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021.
Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa.
Kwa sasa Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais.
Kila zama na kitabu chake
Maendeleo hayana vyama!