johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Duh.....!Nasisi tumechoshwa na mgogoro wa spika na upinzani.
Huyu jamaa toka apike data za uchumi wa nchi yetuHuyu Dr Mipango, kiukweli mipango yake kwa sasa haileweki. Nadhani aliweka mipango yake karibia yote kwa mwendazake. So he is quite confused. Anazungumzia kanisa gani?
What is he referring to? Makanisa ya Anglican, Catholic, Lutherans or what?
Sina imani hata kidogo na huyu jamaa. I’m just honest.Anaanza kuleta story za kanisa wakati anasema serikali haina dini?
Mambo ya ajabu kabisa Kanisa gani lina mgogoro na limeupeleka kwake autatue?
Baada aongelee kukuza uchumi analeta propaganda za dini
Huyu jamaa toka apate scandal ya kuchota pesa BOT nimeondoa imani kwake kabisa.
Kabisa la anglikan ambako yy ni mwumini.Ni kanisa ambako limekithiri migogoro na ufisadi mkubwa wa Mali za waumini.Ni kanisa ambalo pia kakake ni askofu mstaafu.Si kigoma Wala dar es salaam ni migogoro kila kukicha ndo maana ameamua kulipngelea.Huyu Dr Mipango, kiukweli mipango yake kwa sasa haileweki. Nadhani aliweka mipango yake karibia yote kwa mwendazake. So he is quite confused. Anazungumzia kanisa gani?
What is he referring to? Makanisa ya Anglican, Catholic, Lutherans or what?
Kanisa lolote unalolifaham lipo chini ya msajili wa taasisi na NGO's, serikali ndiye msimamizi wa taasisi hizo, so kuwepo kwa mgogoro wowote serikali inapaswa kuonya kama si kuwapatanisha.Anaanza kuleta story za kanisa wakati anasema serikali haina dini?
Sasa Kwanini azungumze as if ni makanisa yote? Yeye kama makamu wa rais, naona kama yuko confused.Kabisa la anglikan ambako yy ni mwumini.Ni kanisa ambako limekithiri migogoro na ufisadi mkubwa wa Mali za waumini.Ni kanisa ambalo pia kakake ni askofu mstaafu.Si kigoma Wala dar es salaam ni migogoro kila kukicha ndo maana ameamua kulipngelea.
TANGU LINI WANAUFIPA MKALITAKIA MEMA TAIFA LENUU??Anaanza kuleta story za kanisa wakati anasema serikali haina dini?
Mambo ya ajabu kabisa Kanisa gani lina mgogoro na limeupeleka kwake autatue?
Baada aongelee kukuza uchumi analeta propaganda za dini
Huyu jamaa toka apate scandal ya kuchota pesa BOT nimeondoa imani kwake kabisa.
TANGU LINI HAPO UFIPANI MKAWA NA IMANI NA VIONGOZI WA TAIFA LENUSina imani hata kidogo na huyu jamaa. I’m just honest.
Sahau kidogoMasheikh wa Zanzibar watawaachia huru lini?
Tunao uhuru wa kutoa maoni lakini kwa busara na wakati mwingine tuwaone hawa wazee kama wazazi wetu vile.Huyu Dr Mipango, kiukweli mipango yake kwa sasa haileweki. Nadhani aliweka mipango yake karibia yote kwa mwendazake. No wonder kaenda kuzuru kaburi as if hakuwepo kwenye mazishi less than two months ago. So he is quite confused. Anazungumzia kanisa gani?
What is he referring to? Makanisa ya Anglican, Catholic, Lutherans or what?
Dr mpango sio muanglikan Ni mkatoliki pure nimewahi kuwa jumuiya moja (usiniulize wapi)?Kabisa la anglikan ambako yy ni mwumini.Ni kanisa ambako limekithiri migogoro na ufisadi mkubwa wa Mali za waumini.Ni kanisa ambalo pia kakake ni askofu mstaafu.Si kigoma Wala dar es salaam ni migogoro kila kukicha ndo maana ameamua kulipngelea.
Serikali inachoshwaje, inahusikaje ?Kabisa la anglikan ambako yy ni mwumini.Ni kanisa ambako limekithiri migogoro na ufisadi mkubwa wa Mali za waumini.Ni kanisa ambalo pia kakake ni askofu mstaafu.Si kigoma Wala dar es salaam ni migogoro kila kukicha ndo maana ameamua kulipngelea.
Ni kweli kabisa!Dr mpango sio muanglikan Ni mkatoliki pure nimewahi kuwa jumuiya moja (usiniulize wapi)?
Na hiyo ameitoa Kama mgeeni rasmi tu
Nafikiri hajakosea, Anglican church imejaa migogoro sanaHuyu Dr Mipango, kiukweli mipango yake kwa sasa haileweki. Nadhani aliweka mipango yake karibia yote kwa mwendazake. No wonder kaenda kuzuru kaburi as if hakuwepo kwenye mazishi less than two months ago. So he is quite confused. Anazungumzia kanisa gani?
What is he referring to? Makanisa ya Anglican, Catholic, Lutherans or what?
Wote tuna uhuru wa kutoa maoni ila ni vema ukweli ubakie ,tuhuma za kuchota fedha !hizi ni tuhuma bado hazijathibitishwa na mahakama au tume yeyote ya kisheria,innocent until COURT of law iamue vinginevyo. Heshimu watawala ili nasi watuheshimu awamu hii wameonyesha heshima hiyoHuyu jamaa toka apike data za uchumi wa nchi yetu
Huyu jamaa toka apate scandal ya kuchota pesa BOT nimeondoa imani kwake wote