Dkt. Mpango: Serikali imechoshwa na migogoro ndani ya Makanisa

Dr mpango sio muanglikan Ni mkatoliki pure nimewahi kuwa jumuiya moja (usiniulize wapi)?
Na hiyo ameitoa Kama mgeeni rasmi tu
uko sahihi na nimeona jina la kama sikosei la kaka yake kwenye moja ya makanisa ya pale kibondo siku mbili zilizopita nilikuwa hapo wakasema waliita kwa heshima yake
 
serikali imechoshwa ma migogoro ndani ya makanisa
Sentesi haijakaa vizuri, serikali huwa hailali, serikali haichoki, serikali haisinzii, serikali haipumziki, wanaochoka ni watu wake na wanapochoka wanatakiwa kukaa pembeni kuwapisha wengine.
 
Dr mpango sio muanglikan Ni mkatoliki pure nimewahi kuwa jumuiya moja (usiniulize wapi)?
Na hiyo ameitoa Kama mgeeni rasmi tu
Unadanganywa na Nani wakati kakake alikuwa askofu wa Jimbo la KIGOMA?unachanganya madesa labda huko alikaribishwa wakati hata akija kasulu analala hostel ya anglikan?wewe hujui waha hawajengi kwao wanaogopa kulogwa
 
Tena mseminari alisoma na Dr Slaa!
... ni kweli hata kwenye hotuba yake kuliaga Bunge alizungumzia useminari wake na hata kuamua kuachana na kusomea upadre. Ila kwamba alisoma na Dr. Slaa huo ni uzushi; Slaa mzee sana yule sio age ya Dr. Mpango.
 
Unadanganywa na Nani wakati kakake alikuwa askofu wa Jimbo la KIGOMA?unachanganya madesa labda huko alikaribishwa wakati hata akija kasulu analala hostel ya anglikan?wewe hujui waha hawajengi kwao wanaogopa kulogwa
.... kwenye hotuba yake kuliaga Bunge alizungumzia useminari wake na hata kuamua kuachana na kusomea upadre. Mambo ya juzi tu mmesahau ya kale mtakumbuka kweli?
 
Mwendazake hizo ndo zilikuwa zake. Makanisani kuzungumzia issue za kitaifa. Anglican siyo makanisa yote. Atulize kitenesi. Yuko confused. No doubt about that.
 
... ni kweli hata kwenye hotuba yake kuliaga Bunge alizungumzia useminari wake na hata kuamua kuachana na kusomea upadre. Ila kwamba alisoma na Dr. Slaa huo ni uzushi; Slaa mzee sana yule sio age ya Dr. Mpango.
Kwani Dr Mpango ni kijana?

Dr Slaa, Dr Mpango na Membe wamesoma seminari moja!
 
Mwendazake hizo ndo zilikuwa zake. Makanisani kuzungumzia issue za kitaifa. Anglican siyo makanisa yote. Atulize kitenesi. Yuko confused. No doubt about that.
Narudia tena wewe ndo uko confused,pumbavu zenu
 
Unadanganywa na Nani wakati kakake alikuwa askofu wa Jimbo la KIGOMA?unachanganya madesa labda huko alikaribishwa wakati hata akija kasulu analala hostel ya anglikan?wewe hujui waha hawajengi kwao wanaogopa kulogwa
Nidanganye ili nipate nn? Tumeishi jirani tangu nikiwa mtoto nimesali nae parokia na jumuiya moja ya mt petro karbu miaka 20.. mabint zake wote nikicheza nao... N

Kuhusu Kaka yake nafahamu kuwa Ni askofu anglikan.
 
Dr Mpango tumekusikia...na kanisa limekusikia na watajibu ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…