johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Alafu umeshindia mihogo kenge kabisa.Good!! Mama anafungua nchi!! Yule mshamba alituchelewesha sana!
Tatizo wanaongea mnooooo. Mambo ya TPA tu hayo, VP ni mtu mkubwa sana.
Hizi hasira zote ni sababu yule mshamba alikuachia mtoto wa kulea?Good!! Mama anafungua nchi!! Yule mshamba alituchelewesha sana!
Hata ningekua mwanamke kweli kumpea yule chizi nisingewahi.Hizi hasira zote ni sababu yule mshamba alikuachia mtoto wa kulea?
Kwani ulikuwa unampa tu bila kujali kama kuna kesho?
Hivi kuboresha bandari inayo toa uchumi kwa nchi ni jambo dogo? Tuache chuki zisizo na tija.Ni kweli hilo mkuu. Inaniuma sana Rais kuwa kwenye ufunguzi wa hospital, sijui vifaa tiba nk. Ona huyu nae yuko kwenye mambo ya bandari - sijui mamlaka ya bandari kama haiwezi kuzungumzia uendeshaji.
Tuna viongozi wanaowaza na kushiriki katika mambo madogo madogo sana!!
Utapeli wa kisiasa uko kiwango cha juu zaidi katika historia ya nchi hii chief!Kama inaweza kuboreshwa ikawa ya kisasa zaidi Afrika, hii ya Bagamoyo ya nini sasa! Na hii ya menejimenti isije ikawa kama wale Net group solutions wa tanesco ya Mkapa.
Singapore wana kampuni yao inaitwa evergreen inafanya vizuri sana kwenye mambo ya shipping ni vizuri waje watupe uzoefuGood!! Mama anafungua nchi!! Yule mshamba alituchelewesha sana!
Wanakuja bwashee!Singapore wana kampuni yao inaitwa evergreen inafanya vizuri sana kwenye mambo ya shipping ni vizuri waje watupe uzoefu
Kabisa naipata sana hiyo kampuni..Singapore wana kampuni yao inaitwa evergreen inafanya vizuri sana kwenye mambo ya shipping ni vizuri waje watupe uzoefu
yeah mkuu tunapambanaKabisa naipata sana hiyo kampuni..
Vipi mkuu wangu bado upo SA?
Kiko wapi sasa?Makamu wa Rais Dr Mpango amesema ameongea na wataalamu wabobezi wa mambo ya bandari ambao watakuja nchini kuifanyia maboresho makubwa bandari ya Dar es Salaam.
Dr Mpango ambaye alikagua teknolojia za kisasa za bandari zinavyofanya kazi amesema Singapore itaboresha miundombinu na menejimenti ya bandari na kuifanya kuwa ya kisasa zaidi barani Afrika.
Dr Mpango yuko ziarani nchini Singapore.
Chanzo: TBC
Mzee wa watu kapiga pesa na kukaa pembeniWeka mkataba hapa we mzee Mpango
mnatuchukulia raia kama mazoba sana