Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Huyu naye atulize KASESELA.Akizungumza kwenye Kongamano la Miaka 57 ya Muungano Jijini Dodoma, Dkt. Philip Mpango amesema katika kipindi chake kama Makamu wa Rais, hatokubali Muungano kuchezewa
Amesema, "Sitakubali kabisa wanaochezea Muungano wetu adhimu. Kuna baadhi ya mambo huwa watu wanasema mimi ni mpole. Watakaojaribu kuchezea Muungano hapo sitakuwa mpole"