Huyu naye atulize KASESELA.Akizungumza kwenye Kongamano la Miaka 57 ya Muungano Jijini Dodoma, Dkt. Philip Mpango amesema katika kipindi chake kama Makamu wa Rais, hatokubali Muungano kuchezewa
Amesema, "Sitakubali kabisa wanaochezea Muungano wetu adhimu. Kuna baadhi ya mambo huwa watu wanasema mimi ni mpole. Watakaojaribu kuchezea Muungano hapo sitakuwa mpole"
Hata mipango yenyewe sijui kama anajua kupangiliaHANA MVUTO WALA HAVUTII
Re, your previous commentsInategemea ukali unautafsiri vipi wewe
Re, your previous comments