JamiiCheck
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 245
- 267
Akizungumza Julai 15, 2025 katika mkutano wa pili wa umoja wa mabaraza ya habari Afrika, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango alibainisha uwepo wa Taarifa Potofu zisizodhibitiwa kama changamoto inayokabili vyombo vya habari kwani inaweza kushusha kiwango cha Uaminifu kwa wananchi
Ujumbe huo unawakumbusha wadau wa vyombo vya habari kuzuia Taarifa sizizo sahihi na kuwezesha upatikanaji wa Taarifa Sahihi kupitia Uthibitishaji wa Taarifa ndani na nje ya mtandao kwa kutumia nyenzo za kidijitali.
JamiiCheck.com ni jukwaa linalokuwezesha kuwasilisha Taarifa unayohitaji kupata Uhalisia wake, pamoja na kujifunza mbinu za Uthibitishaji Taarifa.