JamiiCheck
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 245
- 267
Kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ya Julai 15, 2025 inawakumbusha wadau kuendelea kuzuia maudhui ya Upotoshaji yanayotengenezwa kwa kutumia Akili Unde kwani ni tishio kwenye maamuzi ya Wanachi hasa kipindi cha Uchaguzi.
Tembelea JamiiCheck.com ujifunze kubaini maudhui yaliyoundwa kwa Akili Unde na upate msaada wa kuthibitisha uhalisi wa maudhui yanayohusishwa na Teknolojia hiyo
Tembelea JamiiCheck.com ujifunze kubaini maudhui yaliyoundwa kwa Akili Unde na upate msaada wa kuthibitisha uhalisi wa maudhui yanayohusishwa na Teknolojia hiyo