Dkt. Mpango: Wanaotumia lugha za ovyo dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi nawasihi kiungwana waache. Yanayoendelea nchi jirani watu wanayaona

Hizi kauli zina lengo la kuwatisha watu waache kujadili hoja. Yaani hayo ya nchi jirani na hoja ya bandari yanahusikaje? Au yana uhusiano gani?
 
Ata wale mnaotukana jamii forum kwa kutumia ID fake pia mda si mrefu mambo yatakua sio mambo maana namuona tajir yenu Maxmilian sku izi kla kikao kibubwa analikwa na anakuepo mda si mrefi CCM itamrudisha kundini na ukiwa CCM usariti ni kitu cha kawaida kwaiyo kueni makin pia na humu
 
Matusi sio utamaduni wa Mtanzania. Sasa, wale ambao wanatumia fursa waliyopewa badala ya kujadili hoja, badala ya kujadili maendeleo ya mama Tanzania wanaishia kutumia lugha za hovyo, tena dhidi ya kiongozi mkuu wa nchi nawasihi kiungwana waache
Alikuwa wapi kuyasema hayo huko nyuma wakati Mama Janeth Magufuli na Familia yake wakipigwa makombora ya Matusi?? Ule ndio Utamaduni unaokubaliwa?

Rais SSH alishasema, itachukua mda kwa Watanzania kukubali Utamaduni mpya? alikuwa anamaanisha nini kama sio kukubali "Demokrasia" inayokuja na tamaduni zake, ikiwemo ya Uhuru wa maoni na kuongea. Au tumesahahu pale aliposema "....mbona tunavaa suti zao...." tatizo lipo wapi sasa?
Kama amekubali kukumbatia yote hayo, avumilie kama avyodaiwa kuvumilia. ....Ati fursa waliopewa! Anawatisha Mzee Bwana Tundu au Aikaeli Mbowe? au Watanzania kwa ujumla?

Yule Naibu Waziri aliyewatukana Watanzania Je? au Raisi sio Mtanzania?
Ebo

Raisi ndiye mwenye mamlaka au ndie mtoa fursa ya Kuongea? Kweli hayo? Yameandikwa kwenye Ilani siyo?

Never Never ilikuwa geresha? aaaaah
Chagua kwa Uangalifu 2025, CCM ijifunze Demokrasia, na iwapishe CCM Wazalendo watuvushe. Vumilieni tu.
 
Mhe. Waziri hapa (Bashe) Mhe. Rais ameonesha uvumilivu wa hali ya juu sana, ameonesha ukomavu wa hali ya juu kabisa. Sasa alifungua uwanja wa siasa katika taifa letu ili tufanye siasa za kistaarabu.
huyu msomi naye anajitoa akili kichwani.
Hii CCM imerogwa.
"Rais ameonyesha uvumilivu,..., ameonyesha ukomavu..."
"alifungua uwanja wa siasa..., ili tufanye siasa za kistaarabu"?

Siasa za kistaarabu ni kuwaibia waTanzania mali zao?

Siasa za kistaarabu ni kuweka uhuru wao rehani?

Siasa za kistaarabu ni kujiweka kuwa tegemezi kwa mataifa mengine?

Huyu Makamu wa Rais, awe mwangalifu sana wakati akitaka kuonekana na yeye yupo, asije akajikuta anajigalagaza kwenye matope yasiyomhusu kabisa na kuchafuka kuliko hata hao anaowatetea.
 
Kuna watu hawana bei, hawanunuliki.
Naamini Max ni mmoja wao, vinginevyo angekwishanunuliwa siku nyingi sana.

Sina wasi juu ya huyo jamaa.
 
Ikiwa hivyo tunahama na kuhamia twitter, Instagram, facebook nk. Hukumbuki kipindi cha dhalimu alifunga mitandao tukahamia Kenya Talk, na huko tukawa tunatupa mawe kama kawaida?
 
Kwa kweli wanajiachia mno....afu siye maskini tunaigaiga tu wakati wapingaji wakubwa wanapambania matumbo Yao na kuishia kutudharau
 
Hii takataka haijui hata inafanya nini hapa duniani
Huyu jamaa...., sijui niseme anapewa fursa ya kujimaliza mwenyewe!

Kunapokuwa na tatizo, halafu na wewe ukaingiza kichwa kama kondoo kutetea tatizo, badala ya kuwa mkweli na nafsi yako, unakuwa kama maiti vile!
Huyu bwana Corona haikumwacha vizuri hata kidogo. Hahjawahi kuwa Philip Mpango teana.
 
Hapa utakesha kila siku na kamwe hutojibiwa.
Tushakwambia majibu ya maswali yako yote anayo Lisu
 
Mi naongelea yule ajuza Makamu mi sina shida naye
 
Nakuheshimu sana baba yangu mpango swala la bandari usiliguse

Tunajua wewe ni msafi waachie mafisadi waliomua kuuza nchi wajihukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…