Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti tumtie moyo utadhani anajitoleaUtamtiaje moyo muuzaji mkuu wa rasilimali za Tanganyika na kuacha za kwao Zanzibar?
Hana lolote huyo mzeeNchi jirani kuna nini?? Imekuaje tumekua na diplomasia ya chokochoko kila kitu nchi jirani, viongozi jitafakarini mnaleta mpasuko wa kidiplomasia
Hili zengwe la DPW huwa analikwepa sana,haongelei kabisa!Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Ongea kidogo kuhusu mkataba wa DP world basi baba yetu!!!
Wao wagalatia nyie watalibanWagalatia mna tabu Sana,hivi huyo mpango unadhani yupo kinyume na serikali
Alikuwa wapi kuyasema hayo huko nyuma wakati Mama Janeth Magufuli na Familia yake wakipigwa makombora ya Matusi?? Ule ndio Utamaduni unaokubaliwa?Matusi sio utamaduni wa Mtanzania. Sasa, wale ambao wanatumia fursa waliyopewa badala ya kujadili hoja, badala ya kujadili maendeleo ya mama Tanzania wanaishia kutumia lugha za hovyo, tena dhidi ya kiongozi mkuu wa nchi nawasihi kiungwana waache
Chagua kwa Uangalifu 2025, CCM ijifunze Demokrasia, na iwapishe CCM Wazalendo watuvushe. Vumilieni tu.
huyu msomi naye anajitoa akili kichwani.Mhe. Waziri hapa (Bashe) Mhe. Rais ameonesha uvumilivu wa hali ya juu sana, ameonesha ukomavu wa hali ya juu kabisa. Sasa alifungua uwanja wa siasa katika taifa letu ili tufanye siasa za kistaarabu.
Kuna watu hawana bei, hawanunuliki.Ata wale mnaotukana jamii forum kwa kutumia ID fake pia mda si mrefu mambo yatakua sio mambo maana namuona tajir yenu Maxmilian sku izi kla kikao kibubwa analikwa na anakuepo mda si mrefi CCM itamrudisha kundini na ukiwa CCM usariti ni kitu cha kawaida kwaiyo kueni makin pia na humu
Ikiwa hivyo tunahama na kuhamia twitter, Instagram, facebook nk. Hukumbuki kipindi cha dhalimu alifunga mitandao tukahamia Kenya Talk, na huko tukawa tunatupa mawe kama kawaida?Ata wale mnaotukana jamii forum kwa kutumia ID fake pia mda si mrefu mambo yatakua sio mambo maana namuona tajir yenu Maxmilian sku izi kla kikao kibubwa analikwa na anakuepo mda si mrefi CCM itamrudisha kundini na ukiwa CCM usariti ni kitu cha kawaida kwaiyo kueni makin pia na humu
AminaMungu ibariki Mbeya
Huyu jamaa...., sijui niseme anapewa fursa ya kujimaliza mwenyewe!Hii takataka haijui hata inafanya nini hapa duniani
Hapa utakesha kila siku na kamwe hutojibiwa.Jibuni hoja kenge maji nyie..
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Mi naongelea yule ajuza Makamu mi sina shida nayeHuyu jamaa...., sijui niseme anapewa fursa ya kujimaliza mwenyewe!
Kunapokuwa na tatizo, halafu na wewe ukaingiza kichwa kama kondoo kutetea tatizo, badala ya kuwa mkweli na nafsi yako, unakuwa kama maiti vile!
Huyu bwana Corona haikumwacha vizuri hata kidogo. Hahjawahi kuwa Philip Mpango teana.
Sawa.Mi naongelea yule ajuza Makamu mi sina shida naye
Ameuza kwa sh ngapi!Utamtiaje moyo muuzaji mkuu wa rasilimali za Tanganyika na kuacha za kwao Zanzibar?