Dkt. Msola atolewa na uwanjani polisi kumnusuru dhidi ya Yanga

Msolla amemfukuza mollinga na kumsajili sarpong.

Lazima atupe majibu kwa nini alimfukuza david molinga
Acheni hizo kwani molinga amefukuzwa jana??mbona hamuulizi kesi ya morison, kuwa mbona ktk kesi za CAS, , zinazosikilizwa mwezi huu haipo??mliyoambiwa kuwa tayari imepangiwa jaji?!!simba na yanga ndio kansa ya mpira wa nchi hii!!yaani washabiki wao wanataka kushinda tu!!mchezo gani huo duniani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…