Dkt. Msola atolewa na uwanjani polisi kumnusuru dhidi ya Yanga

Dkt. Msola atolewa na uwanjani polisi kumnusuru dhidi ya Yanga

Mi kuna wadau niliwaambia yanga akipoteza au ku draw tena lazima warushe ngumi.
Bro unafikiri hilo ni tatizo?
Litatokea tu na wala si mara moja. Tatizo ni jinsi wachezaji wanavyojituma, siyo mechi zote.
Wachezaji wanaanguka hovyo bila sababu na wanaonekana kama watu wa mzaha hivi. Wengi wao ni wachezaji wazuri lakini wanakosa umakini.
 
Halafu nime ona ushindi wa vita kule congo umewatoa sana kwenye mstari ndugu zetu hawa wamekuwa hawajiamini tena,wameanza lawama za ajabu na kuanza kukosa matumaini ya ubingwa.
 
Halafu nime ona ushindi wa vita kule congo umewatoa sana kwenye mstari ndugu zetu hawa wamekuwa hawajiamini tena,wameanza lawama za ajabu na kuanza kukosa matumaini ya ubingwa.
Hehe...
Mimi Yanga mkuu
 
Yanga kuweni wastaarabu bhana jana tu mmetozwa faini kwa makosa mawili tofauti....sasa hivi mnaongoza ligi lakini jamaa anayewafukuza kimyakimya anawapa presha....sasa Nchimbi tangu lini akajua kufunga?huyo aliwafunga nyinyi tu...na kama mmesahau huyo Nchimbi alisajiliwa na Hersi na wala si Dk.Msola
 
🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • FB_IMG_16136220414901169.jpg
    FB_IMG_16136220414901169.jpg
    27.5 KB · Views: 2
Dah! Ila Yanga kuna utani sana. Kuanzia kwa kocha mwenyewe, wachezaji, mpaka kwa viongozi. Yaani dirisha la usajili walitambua fika striking force ni mbovu! Wakamsajili Saido Ntibazonkiza, haonekani uwanjani! 😇

Wakamleta Fiston! Nae anaonekana kukosa kabisa match fitness!! Sijui alikuwa hana timu kabla ya kuja Jangwani!! Kiasi anaonekana kupuyanga tu uwanjani kama Mbwana Samatta kule Fernabace! Yaani anapitwa mbali na Striker Mburundi mwenzake Didier na anayechezea Mbeya City!

Kazi kweli kweli! Ditram Nchimbi naye ni mchezaji nyota wa timu ndogo! Na siyo timu kubwa! Wakati alipokuwa Mwadui na Polisi Tanzania, amecheza kwa kiwngo cha juu sana kuliko alipokuwa Azam na sasa Young Africans!! Jana alikosa goli la wazi kabisa!! Dah! Inauma sana. Maana timu isipo badilika, Ubingwa utarudi tena Msimbazi.
 
Mashabiki wa Yanga watulie wasikate tamaa kwani ligi bado ndefu na ligi ya mwaka huu ni ngumu sana bingwa atapatikana mwishoni kabisa.
 
Tatizo utopolo walipotoa hawajafungwa, waliamini hawawezi kufungwa kabisa!! Mawazo hayo ndiyo yanayowatafuna! Wakiona sare wanadhani wamekaribia kufungwa!! Kufungwa mbona ni kawaida Sana!! Timu ipi duniani huwa haifungwi? Sembuse utopolo!! Jiandaeni kufungwa Sana!!!
 
Dah! Ila Yanga kuna utani sana. Kuanzia kwa kocha mwenyewe, wachezaji, mpaka kwa viongozi. Yaani dirisha la usajili walitambua fika striking force ni mbovu! Wakamsajili Saido Ntibazonkiza, haonekani uwanjani! 😇

Wakamleta Fiston! Nae anaonekana kukosa kabisa match fitness!! Sijui alikuwa hana timu kabla ya kuja Jangwani!! Kiasi anaonekana kupuyanga tu uwanjani kama Mbwana Samatta kule Fernabace! Yaani anapitwa mbali na Striker Mburundi mwenzake Didier na anayechezea Mbeya City!

Kazi kweli kweli! Ditram Nchimbi naye ni mchezaji nyota wa timu ndogo! Na siyo timu kubwa! Wakati alipokuwa Mwadui na Polisi Tanzania, amecheza kwa kiwngo cha juu sana kuliko alipokuwa Azam na sasa Young Africans!! Jana alikosa goli la wazi kabisa!! Dah! Inauma sana. Maana timu isipo badilika, Ubingwa utarudi tena Msimbazi.
Kwani na nyie mlikuwa mnawaza mtakuwa mabingwa
 
Aisee Yanga ni kundi la wakorofi tu! Huwezi kumlaumu mwenyekiti asiyekochi timu, ukamuacha kocha anayepanga kikosi na kufanya sub! Tuliwaambia baada ya ile ya Mbeya City kwamba hamkupaswa kumlaumu refa badala yake mgejiangalia ninyi mlipojikwaa na mfanye marekebisho kwa mchezo unaofuata wa Kagera sugar, mkazomea!
Sasa yamewakuta mnaanza kuchomanann vidole machoni! Kuna watu wameanza kumtaja Mllinga dhidi ya Sarpong, wakati ni haohao walimponda Mollinga na hata kusema wakala aliyemleta Mollinga Yanga akamatwe! Sasa mnataka nini kumbe!?
Siku zote kuubali udhaifu wako huwa ni mwanzo mzuri wa kuanza kujisahihisha, bali kukataa udhaifu wako huwa ni mwanzo na hatua hatari ya kufanya makosa megine makuwa zaidi! hiki ndicho kilichowapata Yanga kwenye mechi ya Kagera sugar!
Kesho utasikia ooh! Tunahujumiwaaa! Ooooh! Mara kuna mkono wa Simba! Hayo yote yanawaondoa mchezoni na kubakia mkihangaika na mamo ya nje ya uwaja!
 
Back
Top Bottom