Dkt. Msonde anatumika katika kuwapiga "fix" walimu?

Dkt. Msonde anatumika katika kuwapiga "fix" walimu?

Sijajua kwanini ,
Kwa manufaa ya nani!

Dk Msonde (naibu waziri upande wa elimu) anazunguuka nchi nzima kwa kile anachoita kuwasalimia walimu wenzake, lakini ndani yake kuna agenda ya kuwajaza matumaini HEWA walimu,

Na sana ni zile story za vifaranga vya kuku kunyonya kesho!
Iko hivi..

Baada ya serikali ya mwendazake kuwafanyia ukatili na dhuluma watumishi wa uma,

Dokta Msonde katika hizi ziara zake anawapiga fix walimu akisema yafuatayo

1. Serikali itafanya msawazo mwenyewe ameita hamornazition yaani kwamfano mtu aliajiriwa mwaka 2000
Kwasasa mwaka 2024 anatakiwa awe katika ngazi ipi ya mshahara?
Kwamba serikali itampa daraja hilo analostahili!

2. Kero za walimu zinatatuliwa kupitia mfumo wa TSCMIS..
Kwahiyo walimu wasiwe na wasiwasi,

HATA HIVYO Mpaka leo hii
Hakuna chochote kilichotokea bado watumishi wamedhulumiwa miaka 7 ,
Na anachosema msonde ni FIX

ANGALIENI HII VIDEO YA MSONDE MWAKA 2023


Wajinga ni nyie
 
Sasa hivi nasikia sound ni kuwaweka walimu katika umri rika,

Mfano

Walioajiriwa mwaka 2012 awe sawa na aliyeajiriwa mwaka 2015!

Yaani wawe daraja moja
 
Back
Top Bottom