Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mzee anadai tulikua kwenye Crisis, wakati Ushahidi unaonyesha Wamiliki wa Viwanda wanaozalisha Sukari, na ambao ndio Sheria imewapa Nguvu ya kuagiza Sukari nje, waliomba Kibali, Bashe akawacheleweshea Kibali kiasi Cha wao kushindwa kuagiza Sukari Kwa wakati.
Mzaa hakaz anasema, sio Dhambi Kampuni ya Stationary kuagiza Sukari, anajisahaulisha kua Kampunzi zote zilizotajwa Kwa Ushahidi wa Mpina ni madudu madudu tupu sio Brela, sio Uwezo wa Kipesa, hali inayoleta maswali Kwa Watanzania kua "Huenda Wezi na Mafisadi, walitengeneza Suala la Sukari, wakapewa Msamaha, wakaingiza Sukari Yao ili kupiga Hela?
Ama Hakika Hata MJINGA NAYE ANAZEEKA NA UJINGA WAKE.
Pia soma: