Dkt. Muchunguzi alimuelewa Mpina?

Hayo nimadhara ya njaa kuhamia kichwani mkuu, watu hawaoni tatizo kujitoa akili.
 
Kamwe siwezi kabisa kukielewa mkuu 'Sakasaka'.
Tumekuwa watu (huru?) zaidi ya miaka 60 sasa, lakini wananchi wetu ni kama wamerudi kinyume nyume miaka kadhaa kabla ya uhuru? Hili linanishinda kulielewa.
Mbona simple mkuu, Umasikini-hongo-rushwa- ujinga-na upumbaf.
 
Nani amchague mkuu? Rushwa mtupu
 
Braza watu wanatafuta Hela. Kati ya maeneo ambayo Kuna syndicate yenye nguvu ni sukari. Wanaweza kuiangusha hata serikali. Ni kama zao la mahindi Kwa wakenya. Ni rahisi sana Kwa serikali ya Kenya kuanguka ikiwa Bei ya unga itakua haishikiki. Ni sawa na mkate wa Marie Antoinette.
Ila kule kwenye uzi wako wa Magufuli Bus terminal umesharudi kuchungulia?
 
Kwa mujibu wa Mpina na barua anazosema ameziambatanisha ni kwamba viwanda viliomba mapea ila kibali kilichelewa kutolewa na anasema kilitolewa Januari (kwanini kilicheleweshwa je ili kutengeneza uhaba?)
 
Kwahiyo taarifa iliyotolewa ni ya uwongo...

Huenda ndo kweli...

Siasa ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…