Pre GE2025 Dkt. Mujwahuzi: Vyama vingine viige mfano wa CCM katika kuchagua viongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Halafu huyu ndie anafundisha watoto wetu waje kuwa Taifa la kesho!
Huyu hakufaa kabisa kuwa mhadhiri wa chuo hata chembe!
Mhadhiri hajui maana ya uchaguzi wa demokrasia,haki na uwazi!
Uchaguzi ulikuwa wa CDM na sio huu!
 
Kuna mahali kaiponda Kenya kwa kuwa na Marais waliotoka makabila mawili tu lakini Tz tumekuwa na Marais kutoka makabila 6 tofauti. Lakini ajabu hajasema kwanini upande wa Tz Marais hao 6 ni kutoka Bakwata na TEC tu na siyo Imani nyingine tofauti...

Dkt Mujwahuzi kazingua
 
Halafu huyu ndie anafundisha watoto wetu waje kuwa Taifa la kesho!
Huyu hakufaa kabisa kuwa mhadhiri wa chuo hata chembe!
Mhadhiri hajui maana ya uchaguzi wa demokrasia,haki na uwazi!
Uchaguzi ulikuwa wa CDM na sio huu!
Aibu Sana Alichoongea Huyo Yaani CCM Iwe Mfano?
 
huyu muungwana ni miongoni mwa wahadhiri wasomi muhimu na wenye maono huru na ya kipekee sana nchini Tanzania,

well said Dr 💪👊
 
DHAMBI NI MBAYA SANA.
IOGOPENI DHAMBI ( UONGO+ UNAFIKI)
 
Mbona anazungumza kinyume chake. Nikadhani anasema waited CHADEMA. Maana ndio walikuwa na uchaguzi hivi karibuni na walionesha mfano wa kuigwa.
 
Hawezi panda TEC huyo,mtj wao,ilibak kidogo awe padre
 
Msameheni Classmate wangu anatetea ugali tu.Anachungulia teuzi maana hivi vyuo ni majalalani.
Lakini kwanini usibaki masikini lakini ukatetea wanyonge kuliko kukimbilia vyeo na fedha? Mandela na Nyerere wamekufa bila utajiri wowote lakini majina yao yanaishi mpk leo
 
Jamaa yuko vizuri tu,mkatoliki safi na alipiga seminary had first degree sema ni victim of circumstances tu.Wanakuita,wakupa posjo kisha wakwandikia cha kusema
Kuwa mkatoliki na kusoma seminary ndo kunakufanya usiwe mjinga na usiendekeze tumbo? Huyo ni mjinga tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…