Huyu mtu kwanza huwa ni kigeugeu. Kama unakumbuka Wenyeviti wa CCM waliokuwa Timu Lowasa naye alikuwa ni mmoja wao. Ikaja Lowasa alipotemwa akahamia kwa JPM na ili kumpendezesha JPM hadi akampakazia Lowassa kujinyea! Au MMESAHAU?
Sasa MUSUKUMA kwenye Wasifu wake siku zote alikuwa anadai kazalimwa Mwaka 1974 na kisha shule ya Msingi akamaliza Mwaka 1986.
Kwa zamani isingewezekana kabisa kumaliza shule ukiwa na miaka 12 - kwa sasa inawezekana kwa baadhi ya watoto wa familia zile! Hivyo basi mnaomzingatia Musukuma mnapotea na mie sijawahi kuamini chochote - NASEMA CHOCHOTE, ambacho Musukuma hukiwasilisha!
Angalia link hii:

Parliament of Tanzania
www.parliament.go.tz