SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Tatizo lughaHii barua ya TCU ameisoma?? View attachment 2037228
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lughaHii barua ya TCU ameisoma?? View attachment 2037228
Anataka hivyo ili aachekee akenue meno!ila umempa heshima yake kwa kumuita Dkt Msukuma..
Hivi alyependekeza nchi ilime bange ni nani ati?Labda phd ya bange
Ila Mbatizaji bhana!Kwani Msukuma kupata PhD ya heshima ni dhambi?
Heshima ipi mkuu!Kwani Msukuma kupata PhD ya heshima ni dhambi?
Kapiga Covax FacilitiesDr. katika ubora wake.
View attachment 2037143
Baada ya mwendazake kuondoka jamaa kapiga u-turn kwenye main road, kakimbilia kuchanja Johnson Johnson mgawo wa kwanza kabisa - nyungu hataki tena....aaaa doktaaaaaa weee
AMINA!Ukitaka kuelewana na mjinga we msifie tu
Kabisaaaaaaaa!Mambo yake muachieni mwenyewe...