Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Wadau mbunge wa Geita ambaye ametunikiwa degree ya heshima na chuo kikuu kisichojulikana amejinadi kuwa kuna vyuo vikuu kama UDSM, SAUT n.k vinamhitaji akawafundishe elimu ya uchumi. Msomi huyo aliyemaliza elimu yake ya darasa la 7 lakini akatunikiwa degree na kuwa daktari, kwa sasa amesema kuwa yupo tayari kwenda kufundisha uchumi ktk hivyo vyuo.
Hebu msikilize Dkt. Musukuma.
Hebu msikilize Dkt. Musukuma.