Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameitwa kufundisha wanachuo, ama kaalikwa kufanya muhadhara wa kitaaluma, ama la, kaalikwa tu kuhudhuria katika mojawapo wa kongamano fulani linalotegemewa kufanyika. Kwa maana kwa elimu yake ya darasa la saba, yeye anaona vyote hivyo ni kama kitu kimoja.Wadau mbunge wa Geita ambaye ametunikiwa degree ya heshima na chuo kikuu kisichojulikana amejinadi kuwa kuna vyuo vikuu kama UDSM, SAUT n.k vinamhitaji akawafundishe elimu ya uchumi. Msomi huyo aliyemaliza elimu yake ya darasa la 7 lakini akatunikiwa degree na kuwa daktari, kwa sasa amesema kuwa yupo tayari kwenda kufundisha uchumi ktk hivyo vyuo.
Hebu msikilize Dkt. Musukuma.
View attachment 2528063
Yaani hapo haijalishi chuo kinajulikana au hakijulikani, degree ya heshima itabaki kuwa ni degree ya heshima tu. Hii hutolewa kwa mchango wa mtu aliotoa katika jamii. Mfano ni degree ya Dokta Samia na Dokta Kikwete kwa watu wa juu kwa mazuri walioifanyia jamii ya waTanzania.mbunge wa Geita ambaye ametunikiwa degree ya heshima na chuo kikuu kisichojulikana
Tofautisha uchumi wenu wa nadharia na uchumi halisi. Vinginevyo utaendelea kukariri makanuni na sheria ya uchumi ambayo hayakusaidii.Huyu jamaa ana elewa kweli ugumu wa somo la uchumi au ana ropoka kama mwendawazimu tu.
Una elewa kweli somo la uchumi linalo fundishwa shuleni na vyuo vikuu lipoje ?Tofautisha uchumi wenu wa nadharia na uchumi halisi. Vinginevyo utaendelea kukariri makanuni na sheria ya uchumi ambayo hayakusaidii.
Ukitaka uchumi wa kweli kutana na watu kama akina msukuma ndi utajua nini maana ya ichumi
Sio huo uchumi mnaodanganyiwa na GPA bora halafu mnabaki malofa.
Tatizo hayo majengo na karatasi mnazopewa kama ushahidi kuwa mmpitia formal education vinawadananya sana kudhani hao la 7 hakuna wanachojua.Msomi huyo aliyemaliza elimu yake ya darasa la 7
Kitchen party labda au motivational speaker. Doctor ambaye hana andiko la kitafitiLabda Dr wa matunguri na si vinginevyo, akawafundishe matunguri [emoji16][emoji16]
Watu kama hawa huwezi kuwapata kwingineko isipokuwa ccmWadau mbunge wa Geita ambaye ametunikiwa degree ya heshima na chuo kikuu kisichojulikana amejinadi kuwa kuna vyuo vikuu kama UDSM, SAUT n.k vinamhitaji akawafundishe elimu ya uchumi. Msomi huyo aliyemaliza elimu yake ya darasa la 7 lakini akatunikiwa degree na kuwa daktari, kwa sasa amesema kuwa yupo tayari kwenda kufundisha uchumi ktk hivyo vyuo.
Hebu msikilize Dkt. Musukuma.
View attachment 2528063
Nilishasoma ndugu huko kote.Una elewa kweli somo la uchumi linalo fundishwa shuleni na vyuo vikuu lipoje ?
Kuna tatizo mahali juu yako.Nilishasoma ndugu huko kote.
Elewa nilichokueleza. Tofautisha uchumi wenu wa kukariri kanuni na sheria za uchumi mashuleni na vyuoni na uchumi halisi.
Huyu anachokwambia sio kwenda kufundisha bali kuwa mnenaji wa mambo ya uchumi. Hii ikimaanisha wanajaribu kumleta mtu alofanikiwa kwa uchumi wa ndani wasikilizaji wapate muunganiko na uchumi wao wa darasani. To bridge the gap btn theories na practical.
Jaribu kumsikiliza siku moja mtu anaitwa Kishimba mbunge wa Kahama kisha utaelewa nini tofauti ya msomi wa chuo kikuu asietenda uchumi na darasa la 7 anaetenda uchumi. Kishimba ni darasa la 7 lakini ni zaidi ya profesa wa uchumi kwa namna anavyoweza kukuelezea na jinsi anavyofanya uwekezaji wake kwa kutumia hizi resources tulokuwa nazo nchini
😂😂😂😂Kuna tatizo mahali juu yako.
Kwako ujinga ni ufahari, sidhani kama tuna wiana fikra.😂😂😂😂
Endelea kukariri, siku ukishajua shida iliopo kichwani kwako utasoma tena huu uzi.
Tatizo mnachanganya kuitwa mchumi wa Halmashauri na mnajiona wachumi kweli kweli na kuwadharau wachumi wanaolipa kodi kuendesha nchi na kuinua GDP ya nchi.
Kwa taarifa yako, hawa wachumi wanaolipa kodi inayoendesha nchi na kukulipa wewe mshahara na wenye magorofa kibao na miradi lukuki ndio wachumi sasa.
Anyway baki na ulichokaririshwa chuoni, acha wachumi halisi hao wa darasa la saba na wachache waliofika chuoni wanaojitambua wale mema ya nchi na wakulipe mshahara kupitia kodi zao.
Tatizo ukiingiziwa mshahara kwenye akaunti yako NMB unajua mama anaupiga mwingi kukulipa mshahara kwa wakati. Kwa ukilaza wa wachumi wengi wanadhani Dokta Samia hela hizo anatoa mfukoni mwake, kumbe zinatoka kwa wachumi darasa la 7 wanaofanya kazi za kichumi ndani ya nchi ya Tanzania.
Tuna vilaza wengi sana nchi wanaodhani kwenda chuo kusoma miaka 3 na kupewa cheti wanaujua uchumi. Nonsense.
Badilikeni muokoe familia zenu na taifa. Vinginevyo tutaendelea kuwa na wasomi wa kukariri wasio na tija kwa nchi
Uchumi wa ndago labda.Wadau mbunge wa Geita ambaye ametunikiwa degree ya heshima na chuo kikuu kisichojulikana amejinadi kuwa kuna vyuo vikuu kama UDSM, SAUT n.k vinamhitaji akawafundishe elimu ya uchumi. Msomi huyo aliyemaliza elimu yake ya darasa la 7 lakini akatunikiwa degree na kuwa daktari, kwa sasa amesema kuwa yupo tayari kwenda kufundisha uchumi ktk hivyo vyuo.
Hebu msikilize Dkt. Musukuma.
View attachment 2528063
Acha dharau wewe hujui tunakutana humu hatujuani, kama vipi tufunge vyuo watu wasisome waishie darasa la saba. Kwenye uchumi watu wanajifunza vitu vingi na sio kila mmoja asie na taaluma ya kufundisha anaweza kufanya. Usiidharau elimu hata kidogo watu wamesoma uchumi na shughuli zao wanafanya vizuri.😂😂😂😂