Msukuma hayupo sawa nashauri akapimwe akili. Kashindwa kulisaidia jimbo na chama chake kwenye masuala ya uchumi ndio akafundishe chuo kikuu.Wadau mbunge wa Geita ambaye ametunikiwa degree ya heshima na chuo kikuu kisichojulikana amejinadi kuwa kuna vyuo vikuu kama UDSM, SAUT...
Anaweza Kwenda kuto Lecture siyo kufundisha. Kuongelea yeye namna alivyofanikiwa siyo kufundishaWadau mbunge wa Geita ambaye ametunikiwa degree ya heshima na chuo kikuu kisichojulikana amejinadi kuwa kuna vyuo vikuu kama UDSM, SAUT n.k vinamhitaji akawafundishe elimu ya uchumi. Msomi huyo aliyemaliza elimu yake ya darasa la 7 lakini akatunikiwa degree na kuwa daktari, kwa sasa amesema kuwa yupo tayari kwenda kufundisha uchumi ktk hivyo vyuo.
Hebu msikilize Dkt. Musukuma.
View attachment 2528063
Wadau mbunge wa Geita ambaye ametunikiwa degree ya heshima na chuo kikuu kisichojulikana amejinadi kuwa kuna vyuo vikuu kama UDSM, SAUT n.k vinamhitaji akawafundishe elimu ya uchumi...
Ameishia la saba akamfundishe mtu wa elimu ya form6 na chuo ye akafundishe mwanaye.Wadau mbunge wa Geita ambaye ametunikiwa degree ya heshima na chuo kikuu kisichojulikana amejinadi kuwa kuna vyuo vikuu kama UDSM, SAUT n.k vinamhitaji akawafundishe elimu ya uchumi. Msomi huyo aliyemaliza elimu yake ya darasa la 7 lakini akatunikiwa degree na kuwa daktari, kwa sasa amesema kuwa yupo tayari kwenda kufundisha uchumi ktk hivyo vyuo.
Hebu msikilize Dkt. Musukuma.
View attachment 2528063