Dkt. Mwakyembe aandika waraka wa siri!

There are currently 363 users browsing this thread. (74 members and 289 guests)

zubeda_mchuzi,
Ngongo,
Korosho,
Nduka Original,
Mnyakatari,
herikujua,
Sabung'ori,
batajike,
Ginner,
dos santos,
only83,
Jason bourne,
J Mbungi,
hollo,
Dfour,
thengoshahimself,
Mchana,
comson,
LiverpoolFC,
chaArusha,
evoddy,
agwedegwede,
Losomich,
KEIKEI,
Njilembera,
Kayinga junior,
Jsaudi,
MCHARA,
Shine,
Soyinkwa,
Blayi wa Mpwapwa,
Iza,
Seacliff,
kasimba123,
Fungo N.,
paul p raia,
Pale Pale,
nawaf,
maswenga,
lynxeffect22,
Tayseer,
muonamambo,
Mlugaluga,
nashy,
Angel Msoffe,
Marigwe,
sammosses,
J_The_Reaper,
dope bwoi,
Mgosingwa,
makoye2009,
Gashle,
matoyo,
Gaspery lasway,
mgen,
Hatipunguzo,
paesulta,
Mamzalendo,
solokondo,
Don Alaba,
Msusu,
Maneno Anania,
mivumonian,
Middle,
Mokerema,
Pukudu,
lujani,
mfereji maringo,
sabasita,
salvatory okumu,
Mbilipili,
ureni,
Kwayu
 

Da!! Dokta amekata tamaa namna hii? Nadhani asifikirie kifo kwasasa,nadhani madaktari wanapambana na hiyo sumu,hope Mungu anayeshikilia uhai wake atamuongoza.Ninalo msihi Dokta Mwakyembe atambue CCM na serikali yake hawana nia njema na yeye,ni wakati wa yeye kuondoka kwenye hiki chama.Na ni bora akaendelea na taaluma yake ya ufundishaji kama akiona siasa ni mbaya kwake.Lakini kwa yeye kuendelea kukaa CCM ni dalili mbaya na inaonyesha kutojali kwake,kama analalamikia polisi ambao wako chini ya mamlaka ya serikali ya CCM na hawasikii kwanini anabakia kuwa CCM? Kama serikali imekaa kimya wakati yeye anadai watu waliomfanyia hiyo ishu wanajulikana hii maana yake ni nini?

Kwangu mimi Dokta Mwakyembe kuendelea kukaa CCM ni unafiki na kwakweli watanzania wengi wanamshangaa,iweje akae kwenye chama ambacho hana imani nacho? chama ambacho kinalea watu wenye hila na sifa za kuwa wauaji? Chama ambacho kinahifadhi genge la mafia na watu wasio na huruma na wengine? Chama ambacho kina watu wanaotafuta madaraka kwa njia zote mpaka kwa kutoa uhai wa watu wengine? Hii aingii akilini,Mwakyembe akitaka kupata huruma za watanzania ni sharti atoke CCM.
 

wangesubiri basi huo uchunguzi ndo waje kusema hayo mautumbo yao..by the way tushachoka na issue za mwakyembe..maana kiherehere chake ndo kimemponza
 
mmmh hizi sinema za kutoana roho kumbe zinaitwaje kwa kidhungu?
 
Hivi The Invisible na Invisible ni ID moja or ni ID mbili tofauti?...nipo curious kufahamu!

Rejao ushakua kilaza siku hizi? Kwani wewe unaziona zipo sawa? Mbona haujauliza Senator na senator07? Au hizi zipo sawa?
 
huyu jamaa ni hatari sana ni mchchezi tuangalie sana.Yeye nani hasa na ana nini mpaka kila siku adai anataka kuuawa.Watu kama hawa hawafai kuwa viongozi ni hatari sana aweza kuwagawa anaowaongoza kwa kuwasingizia baadhi wanataka kumuua.Kama wapo wanaotaka kumuua wasingehangaika kutekeleza hilo mazingira ya maisha yetu yanafahamika.Ni mtata sana anataka kila anachoamini au kutaka yeye ndio kiwe.Anapoteza muda kama anaushahidi kwanini hautoi hadharani huyu ni mgombanishi
 
Nimepata uchungu sana kuhusu huyu jamaa, huenda ameona maisha yake yanafika ukingoni, ndio maana ameamua kupasua jipu. mwenye copy ya waraka huu naomba aulete humu JF kwani nia ya DR Mwakiembe ni kutaka watu wajue, hakuna haja ya kuficha,
 

si waupenyeze hapa jukwani kwa kutumia fake ID. Attach na bonyeza kitufe .simple eh?
 
Aache usanii wake. Watanzania hatudanganyiki tena. Anajaribu kutafuta huruma ya watanzania. Yeye na Sitta ni wanafiki tu na lao moja tu, wanatengeneza mazingira ya URAIS, 2015. Ndugu, umekwama.
 

mkuu mbona una panic,punguza hasira.majina yatajulikana tu.
 
Tuwekeeni huo waraka tuusume. Au MODS mmetishwa na maneno/swali la Mch. Mhe. Getrude Rwakatale bungeni?

JF imekuwa ndiyo sources ya habari nyingi za magazeti. Sasa kwanini hili mna drag your foot?
 

mkuu umenena,nashangaa watu wengine wanapanic utazania wao ndio ma culprits.wanataka majina yatajwe at this early stage waanze kutafuta pa kuchomokea.kazi wanayo.
 
Najitaidi kuhusaka kadri ya uwezo wangu, nimeshapiga simu kadhaa kwa watu wa jikoni, wameniambia nisubili, naidi nikiupata nautupia hapa jukwaani wadau.
 
Hata hapa Kipanya kanena!
 

Attachments

  • Kipanya.jpg
    1.7 MB · Views: 367
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…