Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Mie naomba death iji reverse irudi ilikotoka pamoja na waliojadiliana. Hapo ndo utashangaa kitakachotokeaKwanini wanataka Mwakyembe afe?
Kwasasa wamejareibu kumuuua, lakini bado MUNGU HAJAMPENDA ZAIDI,
ni vyema wauaji wake wamuombe msamaha na watubu kwa Mwenyezi Mungu kutokana na dhambi hiyo ya uuaji
Kwanini wanataka Mwakyembe afe?
Kwasasa wamejareibu kumuuua, lakini bado MUNGU HAJAMPENDA ZAIDI,
ni vyema wauaji wake wamuombe msamaha na watubu kwa Mwenyezi Mungu kutokana na dhambi hiyo ya uuaji
kuna kitu DR. Mwakyembe anaogopa kukiweka wazi sijui kuendelea kufanya hivyo kuna msaidia nini ingali anatekekea kwa sumu
Nimekua nikimini na kusikitika sana juu ya Bwana mkubwa wetu nikiamini kalishwa sumu,lakini nimebaini from a reliable source kua sivyo kama sisi tunavyofikiri.Dr wa Appolo(jina kapuni) Ambaye huwa anashugulikia A/c za madeni kwa matibabu za wakuu wetu wanapokwenda kutibiwa Appolo alitukata duku duku letu nikiwA na waziri(jina kpuni) baada ya kummuliza ni nini hasa kinachomsumbua mkuu wetu maana mneno yamekua ni mengi mtaani.
Jibu alilotupa lilikua ni moja,kua huyu jamaa yetu anatafuta pakulalama tuu ila ukweli wa mambo ni AMEUNGUA/NGWENGWE.NimeshAngaa kusikia hivyo na I had to take back my words kwasababu nilimchukia sana Manumba kwa kauli yake na nikamuita MKATILI nikidhani anakwepesha ukweli wa mambo kwa kusema ugonjwa wake hAuusini na sumu.Kumbe alikua alikua anajua alisemalo.
Tumekua na wazo moja tuu la sumu,lakini hatukuwa tunafikiria upande mwingine wa shilingi.Mkuu wetu si ana file lake la Appolo,kwanini haliweki wazi?anaacha wtu walumbane tuu wakati ni kitu kidogo sana cha kuweka file wazi.MtAkuja amini ivi karibuni,time will tell.Hili ni dokezo tuu
Hayo ndio maisha waliojichagulia Watanzania kujazwa porojo unnecessary.Soma post #71
sijawahi kusikia moja kati ya dalili za ngoma ni ngozi kupukutika..get your facts right mkuu...basi hiyo ni aina mpya ya ukimwi
Na mimi nijuavyo sumu kazi yake ni kuuwa faster, hizo sumu za kukaa mwaka mzima mnazijuwa nyinyi.sijawahi kusikia moja kati ya dalili za ngoma ni ngozi kupukutika..get your facts right mkuu...basi hiyo ni aina mpya ya ukimwi
[/COLOR][/B][/I]Mkuu Bujibuji, hapo kwenye red ni kuwa wanafanya toba yao kwa kuendesha harambee kwenye makanisa.
Nimekua nikimini na kusikitika sana juu ya Bwana mkubwa wetu nikiamini kalishwa sumu,lakini nimebaini from a reliable source kua sivyo kama sisi tunavyofikiri.Dr wa Appolo(jina kapuni) Ambaye huwa anashugulikia A/c za madeni kwa matibabu za wakuu wetu wanapokwenda kutibiwa Appolo alitukata duku duku letu nikiwA na waziri(jina kpuni) baada ya kummuliza ni nini hasa kinachomsumbua mkuu wetu maana mneno yamekua ni mengi mtaani.
Jibu alilotupa lilikua ni moja,kua huyu jamaa yetu anatafuta pakulalama tuu ila ukweli wa mambo ni AMEUNGUA/NGWENGWE.NimeshAngaa kusikia hivyo na I had to take back my words kwasababu nilimchukia sana Manumba kwa kauli yake na nikamuita MKATILI nikidhani anakwepesha ukweli wa mambo kwa kusema ugonjwa wake hAuusini na sumu.Kumbe alikua alikua anajua alisemalo.
Tumekua na wazo moja tuu la sumu,lakini hatukuwa tunafikiria upande mwingine wa shilingi.Mkuu wetu si ana file lake la Appolo,kwanini haliweki wazi?anaacha wtu walumbane tuu wakati ni kitu kidogo sana cha kuweka file wazi.MtAkuja amini ivi karibuni,time will tell.Hili ni dokezo tuu
Na mimi nijuavyo sumu kazi yake ni kuuwa faster, hizo sumu za kukaa mwaka mzima mnazijuwa nyinyi.
Please mkuu The Invisible
Tayari Dr Mwakyembe amesha toa waraka wa siri,kwa kupitia JF na kwa kuwa tunaelezwa JF ni mahala pa kusema ukweli na uwazi pasi kumung'unya maneno. Tunakuomba utuletee waraka huo ili tuweze kuusoma.kwani tayari baadhi ya ndugu na jamaa wa Dr.wanao waraka huo na hata baadhi ya magazeti wamejaribu kudodosa yaliyo andikwa ndani ya waraka huo
sijawahi kusikia moja kati ya dalili za ngoma ni ngozi kupukutika..get your facts right mkuu...basi hiyo ni aina mpya ya ukimwi
UKO Tanzania au nchi gani..! unawaamini sana polisi eeh, labda huijui Tanzania na kama unaijua yawezekana wewe ni sehemu ya jeshi la polisi ambalo limegeuka na kuwa "jeshi la majambazi na kulinda mafisadi" jeshi hili haliwezi kumlinda yeyote kama tu hapelekani na maslahi yao..!eti siri.........? hasa we umeshaijua hiyo itakuwa siri tena.........? hebu kuwa muwazi bhana.......? halafu hata mwakyembe ni kilaza nae......? hasa ajali imetokana na uzembe wa dereva wake yeye analalamika nn.........? halafu huyu mwakyembe mbona anafanya kazi ya kuwaelekeza polisi kazi zao kama haaamini ripoti ya polisi akatafute sehemu nyingine anayoamini..........? huyu jamaa aache UJINGA amuombe mungu apone haraka na sio kushuku watu wanataka wamuue kwa lipi alilokuwa nalo au kwa lipi alilofanya...........? aache kutafuta huruma za wa Tz siku hizi hatudanganyiki hivyo............
Waraka huo ambao gazeti hili limeuona
Ni mpaka hapo ndugu, jamaa ama rafiki wa Mwakyembe atakapoamuwa kubandika waraka huo humu, gazeti hapo limeripoti tu kama ambavyo mtu mwingine aliyeuona na kuusoma angeripoti.Tanzania Daima Jumatano haliwezi kuandika kwa undani kuhusu waraka huo kwa sasa.
sijawahi kusikia moja kati ya dalili za ngoma ni ngozi kupukutika..get your facts right mkuu...basi hiyo ni aina mpya ya ukimwi