Dkt. Mwakyembe aandika waraka wa siri!

Mkuu Mungu ni wa ajabu sana,amini nakuambia utaja shangaa mmoja kati ya hao wauaji ataopendwa na Mungu kabla ya Mwakyembe!

Nakubali mkuu, nasikia jamaa ana ugonjwa wa kuzimika zimika kama best wake wa zamani, malipo ni hapa hapa duniani. Dunia itatucheka wabongo kama huyu muuaji na mtesaji akiwa rais.
 
Huku jf kila kitu wazi, mwenye soft copy wajameni tunabaki tu kuwashuku akina fulani
 
Kuna nyoka anaitwa ndumilakuwili, huyu ni kiumbe aina ya reptilia. Huuma kwa kutumia kichwa cha kwanza na ukimdhibiti anageuka na kutumia kichwa cha pili.

Sote tunajua kua ile ripoti ya richmond bungeni ilificha baadhi ya mambo (sababu sijui).

Baada ya sakata la richmond sote tulishuhudia mfululizo wa vita kali ndani ya serikali miongoni mwa vigogo.

Mwisho tumeshuhudia Mwakyembe akimalizia picha kwa kupatwa na ugonjwa wa ajabu.

Maswali ya kujiuliza:

1. Kwa nini ripoti ya richmond iliyosomwa na Mwakyembe ilificha baadhi ya mambo?

2. Kwa nini ripoti ya ugonjwa unaomsumbua Mwakyembe haiwekwi wazi?

3. Kuna nini kati ya serikali, wananchi na Mwakyembe hadi mambo mazito kama haya yafichwe na yeye Mwakyembe kutulia tuli kama hayamuhusu?

4. Je, Mwakyembe ana siri nzito isiyotakiwa kutolewa hadharani?

5. Mambo haya yote ni kwa faida ya nani, Mwakyembe, Serikali au Wananchi?

Tujadili.
 
solokondo said:
Aache longolongo mbona ripoti ya madaktari haiweki hewani na sisi tuione . Huyu jamaa naona anatuyeyusha tuu ili apate huruma ya wananchi hajawekewa sumu huyu liongo tuu

We Solokondo, mbona unaongea kama umetumwa na mtu, siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu na ubinadamu juu, akaongea maneno kama hayo.

Yule bwana anaumwa hasa, na si ugonjwa wa kawaida, mwenzio akinyolewa wewe tia maji kichwa chako.

Kumbuka iko siku yanaweza kukufika wewe, lakini inawezakana wewe ni mmojawao hao wanaongamiza wenzao.

Inakuwaje viongozi wa Mbeya wanaokubalika na watanzania wengi, waumwe wote kwa wakati mmoja tena magonjwa ya ajabu? Kuna nini hapa kinaendelea?
 
Waandishi wa Habari wa Tanzania na Wahariri wao ni wa kuwahurumia. Eti ni waraka wa siri; tena wanoa ndugu zake; tena gazeti linao; Sasa kuna siri tena hapo? Au ni majungu ya kuuzia magazeti?
hahahahaha.... That's what I am saying, wanatuandikia uhoro mtupu!

Waraka ni siri lakini Mwakyembe kausambaza na gazeti linao! So ridiculous!

kama umeogopa kutaja majina kwa sababu kesho na kesho kutwa Mwakyembe anaweza kusema hahusiki na huo waraka basi umetudanganya kusema huu Waraka ni wa Mwakyembe wakati huna hakika, hujui kitu! Ndo maana nasema nyinyi waandishi ni waongo na vilaza ambao hamjui journalism ikoje na msingeijua hata ingewapiga usoni!

Ungeweka wazi kwamba kuna waraka ulioandikwa unaodai unatoka kwa Mwakyembe unaotaja Edward na Khalfani na Bernard na Saidi na nk nk however this newspaper could not independently confirm the authenticity of its authorship, halafu unapiga simu moja tu ya kizushi kwenye ofisi za naibu Waziri, asipopokea unaandika kwamba simu yake ilikuwa haipatikani au akipokea tarishi unaacha ujumbe Mwakyembe akutafute, asiporudisha simu kabla ya print time, unaenda hewani na habari. Mwisho!

Waandishi wa wapi nyinyi?
 
Tanzania Daima bana...

Waraka unao but then ati ''unayahifadhi majina kwa sasa''. Huu si uoga tena bali ni uzezeta. Sijui lini tutapata waandishi wa habari makini. Habari hii ni uzushi na tetesi tu...ili wauze gazeti.
 
Nakubali mkuu, nasikia jamaa ana ugonjwa wa kuzimika zimika kama best wake wa zamani, malipo ni hapa hapa duniani. Dunia itatucheka wabongo kama huyu muuaji na mtesaji akiwa rais.

Kwa kweli malipo ni hapa hapa Duniani na habari hizi zinavyozidi kutoka kila kukicha ndiko kinachozidi kumchanganya kupita maelezo.

Huko kuzimika zimika ni kuweweseka kwamba habari zimevuja na hakuna namna ya kuzuia.

Hapo waraka wa Dkt. Mwakyembe haujatoka hadharani ukitolewa hadharani mambo yataharibika kabisa.

Tusubiri tuone ni suala la muda tu mambo yote yatajulikana bayana.
 
Sita na mwakyembe wanatofautiana.Sita anasema amelishwa sumu,Mwakyembe anasema sumu imeingia kupitia ktk ngozi yake.Je wana JF tuamini lipi?
 
Sita na mwakyembe wanatofautiana.Sita anasema amelishwa sumu,Mwakyembe anasema sumu imeingia kupitia ktk ngozi yake.Je wana JF tuamini lipi?

iwe imepia mdomoni ama la cha muhimu hapa ni sumu na kwanini naibu waziri apewe sumu? lengo lao ni nini zaidi?
 
Mtasikia na kujaribu kuaminishwa mengi sana, lakini ukweli utabaki kuwa watanzania wamejua ukweli!
JB nimefurahi kwa kuibuka kwako. Hivi unahabari wewe unamchango mkubwa wa kuumaliza kama sio kuupunguza umafia Tanzania.

Nikikumbuka taarifa yako kuhusu dr huwa nakusalute sana. Sasa usipoteage sana mkuu kwani hatua tuliofikia kama nchi is too worse.

Chonde mkuu wengine tunaogopa kwenda kwenye shughuri za kijamii tunaogopa kushikishwa sumu bana.
 

ndugu mhariri umewaibia wasomaji wa Tanzania Daima.
There is no 'substance' kwenye hii habari.Utterly rubbish!!
 

Ulikuwa naye kwenye gari? Nani aliwaona wamelala.

Kwa vyovyote hii ni taarifa ile ya polisi ambao nao ni mawakala wa wauuaji
 
Jason bourne big up.ulitufumbua macho.sasa wanaumana wao kwa wao.naomba dr mwakyembe apone. Ila ikitokea kifo chake basi ndiyo itakuwa turning point ya mapinduz ya kweli
 
Lowassa alitaka kumuua huyu bwana kwa sumu ya pollonium.

Mungu mkubwa huyu Mwakyembe kapona na yeye sasa anaumwa maradhi ya Paekinson.

Adhabu ni hapa hapa duniani. Eti anataka urais wa Tanzania! Atausubiri milele
 
[h=3]Mhariri amwagiwa tindikali[/h]





By Bernard James

Saed Kubenea, an investigative journalist in the weekly Mwana Halisi is fighting for his life in hospital after unknown armed men attacked him and a colleague in their office yesterday night in what he believes attempts to terminate his life.

The journalist who sustained severe head injuries is also facing the danger of permanently losing sight after one of the bandits poured him acid on his face before they sped away.

Speaking at his bed at Muhimbili National Hospital (MNH) yesterday, Kubenea said the incident happened at around 9:00 when he and another veteran journalist Ndimara Tigambwage were winding up office duties ready to left for their homes.

"This is the real cost of practicing journalism fearlessly and professionally," courageous and unafraid Kubenea said from his bed flanked by journalists and relatives.

"It is a fight against the truth we uncover and hard-hitting features we publish, nothing else! He said.

The Kinondoni Regional Police Commander, Jamal Rwambow told the Citizen yesterday that investigation on the incident was going on well, promising to release a comprehensive statement today.

Kubenea, news editor with Kiswahili weeklies, Mwana Halisi and Mseto has come out fearlessly last year to expose scandals, office abuse and allegations of embezzlement of public funds involving big shots within and outside the government.

He vowed, however, at his bed not to give up with investigative journalism that has increasingly put his life in jeopardy in recent months.

The writer has received at least 15 text messages from unknown persons from June last year threatening to terminate his life shouldn't he stop following up their life.

"Your death will be of its kind that your body will never be found," one of the SMS he received read.

Another reads:" Take your last breath. We are not far from you. Few hours are left before we send you where you deserve."

"Watch out we are not joking on this. We want your death to be a threat even to mabwana zako.

Doctors treating him are yet to identify the type of acid poured on him and have advised him to seek specialized treatment in India. Kubenea told reporters relatives and friends are making arrangements to secure air ticket and fly him to India, possibly tomorrow.

The opposition Civic United Front (CUF) deputy secretary general (Zanzibar) Juma Haji Duni visited the hospital to comfort Kubenea, describing the act as a failed attempt to suppress the truth.

"This is just a threat to stop you from writing the truth. Do what you good conscious directs you, you don't have to give up,|" Duni said.

Narrating, Kubenea said three men knocked at their office door. Upon opening the door, he found himself surrounded with the men armed with machetes, knives and iron bar, telling him that they needed his soul.

Fight broke out when Ndimara intervened to rescue his colleague. During the fight, he said, one bandit dropped a machete but when he (Kubenea) tried to pick it, acid on his face.

According to Kubenea, the bandits later speed away, probably in belief that Kubenea he already has died.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…