Nyie ni vya Green warriorsViwango vyenu ni mbao na lipuli,mbao inawafunga hatushangai kuwafunga shelisheli moja
Wafungeni kwanza shelisheli kwao ndo tubishane
Kwani Shelisheli walishinda?Wafungeni kwanza shelisheli kwao ndo tubishane
Kuwafunga waethopia waliochukuliwa gereza la Djibouti?!, huyu Mzee apumzike sasa jamani.
Djibouti kuna timu bana.
Kiukweli Simba imecheza na ka timu kachovu sana! Ile timu hata ingecheza na Green Worriers ingechezea nyingi tu! Simba inapaswa ijipange haswa isibweteke na sifa za kipuuzi!
Ngoja tusubir ya kina el masri, wyadad casablanca,... Ni swala la muda tu..... Tubakishe akiba ya maneno...
Anaonesha kiwango chake cha kutofahamu kandanda. Simba imecheza na Mafundi Gereji wa Djibout, tayari waziri anamwagika maneno mfululizo...wakati Simba inadundwa na Green Warriors waziri alikuwa nani?Waziri Wa michezo anaonesha mahaba kwa timu moja huku nyingine anaibagua.
......huyu Mzee muda Wa kupumzika umefika anakoenda anazidi kujishushia heshima.