Dkt Mwakyembe Unafahamu Kinachoendelea Jimboni Kwako Kyela?

Dkt Mwakyembe Unafahamu Kinachoendelea Jimboni Kwako Kyela?

Mbeya kama Pemba na Unguja. Sio Dar es salaam and the like, hawajui hata wanachokitaka. Bora liende.

Big up wana Mbeya, big up wana Kyela, big up Unguja na Pemba.
 
.

Bambumbili,
1.Umesahau kuwa Huyu Bwana ndiye aliyeaandika udaku kuwa ametoka airport kumsindikiza mwakalinga na kupotosha kila kitu.

2.Na huyu Bwana ndiye alileta waraka hapa alioandika yeye na mke wake akidai ni waraka wa mkuu wa mkoa wa mbeya wa kumuuza Mwakalinga.

3.Alivyomjinga,anashindwa kuandika yaliyotokea Ipinda.Ambapo Mensa(Mwenyekiti kata ya Ipinda) Imejitoa na kumshabikia Mwakyembe na kusababisha vurugu mpaka mahakamani.

Huyu Kashabone ni mtu hatari na mzushi na ni mtu wa kumuogopa kama ukoma.

Unachanganya watu Engineer na Kasyabone. Habari unazoandika sijawahi andika kabisa (unaweza Quote). Labda useme engineer. Hiyo ndio hali ya kyela kwa sasa. Labda Pengine nyinyi mnakyela yenu maana mnapishana na ukweli. Mnasoma magazetini habari halafu mnatumia akili za watu kujaji mambo. Unajua mimi ninataarifu tu hali ya kyela, Sihitaji majibu ya kupingana na ukweli kama uamini its better ukakaa kimya kuliko kuvamia na kuandika uongo mtupu. Toa vielelezo kuthibitishia umma unayosema niliandika.
 
Unataka vielelezo gani mzee.
Nani hakujui wewe mfanyakazi wa mango tree na mzaliwa wa kule kwa akina Iwee..............Mhh. kwa kheri
 
Unachanganya watu Engineer na Kasyabone. Habari unazoandika sijawahi andika kabisa (unaweza Quote). Labda useme engineer. Hiyo ndio hali ya kyela kwa sasa. Labda Pengine nyinyi mnakyela yenu maana mnapishana na ukweli. Mnasoma magazetini habari halafu mnatumia akili za watu kujaji mambo. Unajua mimi ninataarifu tu hali ya kyela, Sihitaji majibu ya kupingana na ukweli kama uamini its better ukakaa kimya kuliko kuvamia na kuandika uongo mtupu. Toa vielelezo kuthibitishia umma unayosema niliandika.

Kasyabone,

Vipi mbona mmeanza kupiga wafuasi wenu tena?

Baada ya kuona huyo Mwenyekiti wa Ipinda, bwana Mensa kaamua kwenda kwa Mwanjala, mnamtumia vijana ili wakampige?

Hizo sio siasa tena, acheni kutumia vitisho kunyanyasa wananchi wasiwakimbie.

Mlianza kueneza eti Mwakalinga kajitoa, nimeambiwa Mwakalinga kaingia Kyela tayari na tuone mtasingizia lipi lingine?

Uzuri watu wa Kyela sio wajinga, wako kama kule Pemba au kule Musoma, wanajua nani ana faida kwao na nani hana msaada wowote. Sababu hizo hizo ndio ziliwafanya wamchague Mwakyembe 2005 kwasababu waliamini angekuwa na uwezo wa kusaidiana nao kuondoa matatizo mbalimbali. Bahati mbaya kumbe Dr mwenyewe ni msanii, imekuwa kila siku ni vita, migogoro, majungu na siasa za chuki. Wananchi wamechoka kuyumbishwa.
 
Nimepata taarifa kwamba huko Kyela baada ya ndg Mwanjala kutangaza kugombea ubunge akipambana na Dkt Mwakyembe, hali si shwari kwa upande wa Kambi ya Dkt Mwakyembe hasa kwa upande wa vijana mbalimbali wanapotoa kauli mbalimbali kumponda! Wengi wao wanadai kwamba kinachotakiwa kudumu ni CCM na sio mtu! Pia baadhi yao wanadai kuwa walimpenda Dkt Mwakyembe, lakini wanampenda Mwanjala zaidi, kwa kuwa hawajaona matunda yoyote ya ubunge wake Kyela! Baadhi wanadai eti kwenye nafasi ya ukatibu wa Mbunge kwenye Ofisi yake amemweka mtu aliyepata Division ZERO kidato cha IV ambaye ni ndugu Emanuel ambaye hana msaada mkubwa wa kutekeleza majukumu yake! Dkt Mwakyembe inasemekana alipata pigo jingine hivi karibuni baada ya mtu wake wa karibu, aliyekuwa M/kiti wa Halmashauri ndg Kisugujila kuvuliwa madaraka na kwa bahati mbaya timu hiyo hiyo ya madiwani iliyovua madaraka M/kiti wa Halmashauri ikiongozwa na Chris, Diwani wa Ipinda na Majuni, Diwani wa Kajunjumele, iko kinyume kabisa na Dkt Mwakyembe! Pia wenyeviti wengi wa kata wako kinyume na mheshimiwa huyu! Badala ya kupanga mikakati Dkt Mwakyembe amesikika akilalamika kwamba "Mafisadi wamemwaga fedha" jimboni kwake ili kutaka kumng'oa, tuhuma ambazo hajazithibitisha! Mh Dkt Mwakyembe, hali si shwari Jimboni kwako na kama ulidai endapo "Mafisadi" wakitaka kukung'oa Kyela basi wakaweke kambi na wake zao miaka 5 ndipo watakapokung'oa sidhani kama hiyo kauli unaweza kuitoa kwa sasa hali ilivyo! Wenye updates zaidi toka Kyela watupatie, pls!

Sasa Mh hizi taarifa umezipata wapi na kama umeambiwa nani kakuambia na hizo updates za Kyela za nini sasa.
 
Dkt.. achana nao hao wewe panga mikakati yako cc wapinga ufisadi tupo nyuma yako.. na kwa taarifa yenu Dkt.. si yule mnayemjua nyinyi kwani yuko more advance kwenye maswala ya siasa za mkoa wa mbeya.. ukitaka kujua hilo basi longa na bro.. Mwakipesile atawajuza .Dkt ni mtu wa namna gani kwenye ulingo kwenye siasa...
 
Mhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!

MGM
Join Date: Fri Jan 2010
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
 
Ha h ah aha nyie mnafikiri sisi wajinga? Najua kambi ya akina nanii ndiyo mmeanzisha huu uzushi. Hivi hamchoki tu, mahela ya ufisadi mmeshakula sasa njooni na mengine, haya madudu tumechoka kuyasikia !! Mlianza na kujipa misifa ya kuwa waanzilishi wa JF, na mitandao mingine, mkaumbuliwa mkaja na kesi za mdogo wenu kutekwa, nayo patupu sasa mnazidi kuja na madudu haya haya...! Wachovu nyie hamna kitu.....
 
Mliojadili hapa naamini wengi wenu ni wapiga kura wa kyela. nadhani kuna haja ya kujadili hata watarajiwa wa majimbo yetu ya uchaguzi badala ya kushikia bango mtu mmoja pekee. tuna mambo muhimu tunatarajia kutokana na uwakilishi wa wenzetu hivyo ni budi tukaja na cheks and balance zao wakati wa kuwajadili. info za jumla jumla huwa hazijengi tunataka detailed hapa barazani.

hatufanyii kazi ishu za udaku thinkers wenzangu
 
Anza kumwaga data!
 
2.JPG

Mbunge wa Kyela na makamu mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Harrison Mwakyrmbe (Mb) akiteta jambo na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Mhe. Tim Clarke leo katika viwanja vya Bunge Dodoma. kulia ni Balozi wa Ufaransa nchini Jacques Champagne de Labriolle, ambao wapo Dodoma kujionea vikao vya Bunge vinavyoendelea.
(Picha na mdau Owen Mwandumbya wa Bunge
)

NB: Kata issue mh Mwakyembe mafisadi hawaachiwi jimbo!
 
Kwani lazima agombee Kyela tu???? Hamkumbuki Mrema alipogombea Temeke badala ya huko kwao? Nafikiri alichofanya Mwakyembe si cha kuangaliwa na wana Kyela peke yake bali kwa taifa zima. Hata Ilala nako kuna majimbo pia, anaweza kugombea na akapata. Na si lazima agombee kwa tiketi ya SISIEMU maana kuna vyama vingine pia ambavyo vinatambua mchango wake si kwa Kyela tu bali kwa Taifa zima.
 
2.JPG

Mbunge wa Kyela na makamu mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Harrison Mwakyrmbe (Mb) akiteta jambo na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Mhe. Tim Clarke leo katika viwanja vya Bunge Dodoma. kulia ni Balozi wa Ufaransa nchini Jacques Champagne de Labriolle, ambao wapo Dodoma kujionea vikao vya Bunge vinavyoendelea.
(Picha na mdau Owen Mwandumbya wa Bunge)

NB: Kata issue mh Mwakyembe mafisadi hawaachiwi jimbo!

Masanilo hebu niambie una ujumbe gani hapa kwa ndugu Elias Mwanjala a.k.a CCJ. hebu tafakuri kama ndiyo yeye angekuwa amekutana na hao mabalozi, hata angekuwa na mkalimani hana cha kuwaeleza!

Nasikia ametengeneza chumba kwenye baa yake pale sterio ili kuwaadhibu dada zetu wa kinondoni wasiopenda kufanya kazi ila wanapenda kunywa pombe
 
Ndugu yangu
Mambo mengine wewe ni ya kuyaangalia tu! Mwanjala ni msindikizaji na hata yule mbeba mabox anajimaliza na kujichosha tu. Anyway democrasia hiyo tuache ichukue mkondo wake.
 
Ndugu yangu
Mambo mengine wewe ni ya kuyaangalia tu! Mwanjala ni msindikizaji na hata yule mbeba mabox anajimaliza na kujichosha tu. Anyway democrasia hiyo tuache ichukue mkondo wake.
.

Sasa mbona umeanza kuwa kubwa jinga. unatuma post na kujijibu mwenye kwa id nyingine?shame!
 
Back
Top Bottom