.
Bambumbili,
1.Umesahau kuwa Huyu Bwana ndiye aliyeaandika udaku kuwa ametoka airport kumsindikiza mwakalinga na kupotosha kila kitu.
2.Na huyu Bwana ndiye alileta waraka hapa alioandika yeye na mke wake akidai ni waraka wa mkuu wa mkoa wa mbeya wa kumuuza Mwakalinga.
3.Alivyomjinga,anashindwa kuandika yaliyotokea Ipinda.Ambapo Mensa(Mwenyekiti kata ya Ipinda) Imejitoa na kumshabikia Mwakyembe na kusababisha vurugu mpaka mahakamani.
Huyu Kashabone ni mtu hatari na mzushi na ni mtu wa kumuogopa kama ukoma.
Unachanganya watu Engineer na Kasyabone. Habari unazoandika sijawahi andika kabisa (unaweza Quote). Labda useme engineer. Hiyo ndio hali ya kyela kwa sasa. Labda Pengine nyinyi mnakyela yenu maana mnapishana na ukweli. Mnasoma magazetini habari halafu mnatumia akili za watu kujaji mambo. Unajua mimi ninataarifu tu hali ya kyela, Sihitaji majibu ya kupingana na ukweli kama uamini its better ukakaa kimya kuliko kuvamia na kuandika uongo mtupu. Toa vielelezo kuthibitishia umma unayosema niliandika.
Unachanganya watu Engineer na Kasyabone. Habari unazoandika sijawahi andika kabisa (unaweza Quote). Labda useme engineer. Hiyo ndio hali ya kyela kwa sasa. Labda Pengine nyinyi mnakyela yenu maana mnapishana na ukweli. Mnasoma magazetini habari halafu mnatumia akili za watu kujaji mambo. Unajua mimi ninataarifu tu hali ya kyela, Sihitaji majibu ya kupingana na ukweli kama uamini its better ukakaa kimya kuliko kuvamia na kuandika uongo mtupu. Toa vielelezo kuthibitishia umma unayosema niliandika.
Nimepata taarifa kwamba huko Kyela baada ya ndg Mwanjala kutangaza kugombea ubunge akipambana na Dkt Mwakyembe, hali si shwari kwa upande wa Kambi ya Dkt Mwakyembe hasa kwa upande wa vijana mbalimbali wanapotoa kauli mbalimbali kumponda! Wengi wao wanadai kwamba kinachotakiwa kudumu ni CCM na sio mtu! Pia baadhi yao wanadai kuwa walimpenda Dkt Mwakyembe, lakini wanampenda Mwanjala zaidi, kwa kuwa hawajaona matunda yoyote ya ubunge wake Kyela! Baadhi wanadai eti kwenye nafasi ya ukatibu wa Mbunge kwenye Ofisi yake amemweka mtu aliyepata Division ZERO kidato cha IV ambaye ni ndugu Emanuel ambaye hana msaada mkubwa wa kutekeleza majukumu yake! Dkt Mwakyembe inasemekana alipata pigo jingine hivi karibuni baada ya mtu wake wa karibu, aliyekuwa M/kiti wa Halmashauri ndg Kisugujila kuvuliwa madaraka na kwa bahati mbaya timu hiyo hiyo ya madiwani iliyovua madaraka M/kiti wa Halmashauri ikiongozwa na Chris, Diwani wa Ipinda na Majuni, Diwani wa Kajunjumele, iko kinyume kabisa na Dkt Mwakyembe! Pia wenyeviti wengi wa kata wako kinyume na mheshimiwa huyu! Badala ya kupanga mikakati Dkt Mwakyembe amesikika akilalamika kwamba "Mafisadi wamemwaga fedha" jimboni kwake ili kutaka kumng'oa, tuhuma ambazo hajazithibitisha! Mh Dkt Mwakyembe, hali si shwari Jimboni kwako na kama ulidai endapo "Mafisadi" wakitaka kukung'oa Kyela basi wakaweke kambi na wake zao miaka 5 ndipo watakapokung'oa sidhani kama hiyo kauli unaweza kuitoa kwa sasa hali ilivyo! Wenye updates zaidi toka Kyela watupatie, pls!
Dkt.. achana nao hao wewe panga mikakati yako cc wapinga ufisadi tupo nyuma yako.. na kwa taarifa yenu Dkt.. si yule mnayemjua nyinyi kwani yuko more advance kwenye maswala ya siasa za mkoa wa mbeya.. ukitaka kujua hilo basi longa na bro.. Mwakipesile atawajuza .Dkt ni mtu wa namna gani kwenye ulingo kwenye siasa...
Mliojadili hapa naamini wengi wenu ni wapiga kura wa kyela. nadhani kuna haja ya kujadili hata watarajiwa wa majimbo yetu ya uchaguzi badala ya kushikia bango mtu mmoja pekee. tuna mambo muhimu tunatarajia kutokana na uwakilishi wa wenzetu hivyo ni budi tukaja na cheks and balance zao wakati wa kuwajadili. info za jumla jumla huwa hazijengi tunataka detailed hapa barazani.
hatufanyii kazi ishu za udaku thinkers wenzangu
Mbunge wa Kyela na makamu mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Harrison Mwakyrmbe (Mb) akiteta jambo na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Mhe. Tim Clarke leo katika viwanja vya Bunge Dodoma. kulia ni Balozi wa Ufaransa nchini Jacques Champagne de Labriolle, ambao wapo Dodoma kujionea vikao vya Bunge vinavyoendelea.
(Picha na mdau Owen Mwandumbya wa Bunge)
NB: Kata issue mh Mwakyembe mafisadi hawaachiwi jimbo!
Masanilo hebu niambie una ujumbe gani hapa kwa ndugu Elias Mwanjala a.k.a CCJ. hebu tafakuri kama ndiyo yeye angekuwa amekutana na hao mabalozi, hata angekuwa na mkalimani hana cha kuwaeleza!
Nasikia ametengeneza chumba kwenye baa yake pale sterio ili kuwaadhibu dada zetu wa kinondoni wasiopenda kufanya kazi ila wanapenda kunywa pombe
.Ndugu yangu
Mambo mengine wewe ni ya kuyaangalia tu! Mwanjala ni msindikizaji na hata yule mbeba mabox anajimaliza na kujichosha tu. Anyway democrasia hiyo tuache ichukue mkondo wake.
.
Sasa mbona umeanza kuwa kubwa jinga. unatuma post na kujijibu mwenye kwa id nyingine?shame!