Mkurugenzi wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Moses Mwasaga wakati akifanya mahojiano na kituo cha redio cha Mjini FM ameeleza kuwa moja ya hasara kubwa za habari potofu kwenye taifa ni kusababisha maandamano na taharuki katika jamii.
Your browser is not able to display this video.
Sasa najiuliza kwa nchi nyingine ambazo zimefanya maandamano na kufanikiwa ilikuwa ishu ni Habri potofu au kulikuwa na shida mahali kweli mfano maandamano ya Nepal yaliyofanyika juzi kati hapo. Shida ya nchi nyingi wanadharau maoni na shida za wananchi hadi mambo yanakuwa makubwa zaidi.