Dkt Mwele Malecela: Kutoka binti mwenye ndoto kuwa Mtafiti, Mwanasayansi wa kimataifa hadi muwania Urais 2015

Mwele, Senyagwa, Seche. Nimesoma nao miaka hiyo kwa nyakati tofauti. Ni kati ya watoto wachache wa mawaziri enzi hizo waliokuwa hawana majivuno kabisa, very social kwa watu wote bila kujali wametokea familia gani. I wish Her Good Luck.

Urais hapati
 
ikitaka watu waanze kuchimbua hata ambayo ulishayasahau,ingia kwenye siasa na ugombee uongozi
 
Masuala ya ndoa na kuolewa yanaingiaje kwenye mambo ya kiuongozi?

the smallest unit of the society is a family...you prove failure kwenye family nani akuamini?? unaweza kulala gesti muda wowote...utaibomoa taasisi ya ndoa kwa kufanya watu waamini katika kuchepuka...watoto wa mitaani watajaa tele...talaka kila siku ili watu wafanane naye..unabomoa taifa
 
Huyu binti ni huyu mtoto wa Mzee jumanne malecela au nimechanganya
 
kama kashindwa kuanzisha familia na kuitunza...atalitunza taifa? akienda ziara za nje akitongozwa atakataa? anakidhi vipi tamaa za mwili kama mpaka leo hajaolewa? anatumia mbinu gani? kama kashindwa kumvumilia mwanaume mmoja ataweza kuvumilia kero za taifa zima?

Well said
 
Hivi kwanini mama Anna Kilango hafuatani na dr.Mwale kusaka udhamini wa ccm? Wakati LeMuntus akisaka ubunge wa EAC mama kilango alipigana kufa na kupona japo jamaa alimwangusha kwa kutoa pumba kwenye mdahalo.
 
kama kashindwa kuanzisha familia na kuitunza...atalitunza taifa? akienda ziara za nje akitongozwa atakataa? anakidhi vipi tamaa za mwili kama mpaka leo hajaolewa? anatumia mbinu gani? kama kashindwa kumvumilia mwanaume mmoja ataweza kuvumilia kero za taifa zima?

mkuu umeenda mbali mno, yaani you went too far!
 
the smallest unit of the society is a family...you prove failure kwenye family nani akuamini?? unaweza kulala gesti muda wowote...utaibomoa taasisi ya ndoa kwa kufanya watu waamini katika kuchepuka...watoto wa mitaani watajaa tele...talaka kila siku ili watu wafanane naye..unabomoa taifa

ishi! Kwani pengo anamke? Unataka kusema wakatoliki wote waseja? Unasemaje kuhusu dr.bilal anaefuatana na wake watatu,

Hebu niambie katika hao watia nia yupi hana kimada?

Kibonde kila siku anatuambia kwenye tv 50% ya wanandoa wanamiwaya wanaitoa wapi kama sio viruka njia. Huyu mama katumia muda wake mwingi kwenye utafiti na sio kusaka mabwana, wewe vipi!?
 
Mwele, Senyagwa, Seche. Nimesoma nao miaka hiyo kwa nyakati tofauti. Ni kati ya watoto wachache wa mawaziri enzi hizo waliokuwa hawana majivuno kabisa, very social kwa watu wote bila kujali wametokea familia gani. I wish Her Good Luck.

Ni kweli kabisa
 
ishi! Kwani pengo anamke? Unataka kusema wakatoliki wote waseja? Unasemaje kuhusu dr.bilal anaefuatana na wake watatu,

Hebu niambie katika hao watia nia yupi hana kimada?

Kibonde kila siku anatuambia kwenye tv 50% ya wanandoa wanamiwaya wanaitoa wapi kama sio viruka njia. Huyu mama katumia muda wake mwingi kwenye utafiti na sio kusaka mabwana, wewe vipi!?

Hebu mpashe na apashike
 
the smallest unit of the society is a family...you prove failure kwenye family nani akuamini?? unaweza kulala gesti muda wowote...utaibomoa taasisi ya ndoa kwa kufanya watu waamini katika kuchepuka...watoto wa mitaani watajaa tele...talaka kila siku ili watu wafanane naye..unabomoa taifa

Rais wa Botswana hana mke Na nchi anaiendesha vizuri sana kuliko hao wenye ndoa
 
Acheni kumpa kiki huyo mwele najua mnamtafutia viti maalum tu bungeni
 
Back
Top Bottom