Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Mwele, Senyagwa, Seche. Nimesoma nao miaka hiyo kwa nyakati tofauti. Ni kati ya watoto wachache wa mawaziri enzi hizo waliokuwa hawana majivuno kabisa, very social kwa watu wote bila kujali wametokea familia gani. I wish Her Good Luck.
atafute mume kwanza amuoe,asije kutujazia ma baby ikulu..hatuwezi kuongozwa na msimbe
Urais hapati
Ulikumbuka kumeza dawa leo?
Masuala ya ndoa na kuolewa yanaingiaje kwenye mambo ya kiuongozi?
za matende na mabusha?
No. Zile zinazotibu naniliu
Huyu binti ni huyu mtoto wa Mzee jumanne malecela au nimechanganya
kama kashindwa kuanzisha familia na kuitunza...atalitunza taifa? akienda ziara za nje akitongozwa atakataa? anakidhi vipi tamaa za mwili kama mpaka leo hajaolewa? anatumia mbinu gani? kama kashindwa kumvumilia mwanaume mmoja ataweza kuvumilia kero za taifa zima?

the smallest unit of the society is a family...you prove failure kwenye family nani akuamini?? unaweza kulala gesti muda wowote...utaibomoa taasisi ya ndoa kwa kufanya watu waamini katika kuchepuka...watoto wa mitaani watajaa tele...talaka kila siku ili watu wafanane naye..unabomoa taifa
Mwele, Senyagwa, Seche. Nimesoma nao miaka hiyo kwa nyakati tofauti. Ni kati ya watoto wachache wa mawaziri enzi hizo waliokuwa hawana majivuno kabisa, very social kwa watu wote bila kujali wametokea familia gani. I wish Her Good Luck.
ishi! Kwani pengo anamke? Unataka kusema wakatoliki wote waseja? Unasemaje kuhusu dr.bilal anaefuatana na wake watatu,
Hebu niambie katika hao watia nia yupi hana kimada?
Kibonde kila siku anatuambia kwenye tv 50% ya wanandoa wanamiwaya wanaitoa wapi kama sio viruka njia. Huyu mama katumia muda wake mwingi kwenye utafiti na sio kusaka mabwana, wewe vipi!?
the smallest unit of the society is a family...you prove failure kwenye family nani akuamini?? unaweza kulala gesti muda wowote...utaibomoa taasisi ya ndoa kwa kufanya watu waamini katika kuchepuka...watoto wa mitaani watajaa tele...talaka kila siku ili watu wafanane naye..unabomoa taifa
naniliu ni ugonjwa ambao bado mnautafiti??!!