Dkt. Mwigulu aelekea Morogoro kufungua mkutano wa mwaka wa TAKUKURU

Dkt. Mwigulu aelekea Morogoro kufungua mkutano wa mwaka wa TAKUKURU

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU, unaofanyika leo Januari 26, 2026.

IMG-20260126-WA0018.jpg
IMG-20260126-WA0016.jpg
IMG-20260126-WA0017.jpg
IMG-20260126-WA0014.jpg
IMG-20260126-WA0015.jpg
 
Hizi safari za Mwigulu karibu kila siku kila mahali, sio utaratibu mzuri wa kiafya.

Anatakiwa kujipa space ya walau siku moja, na sio kuunganisha matukio kama anavyofanya, atakuja kudondoka kwa fatigue.
Alhamis alikuwa Singida,
Ijumaa alikuwa Mwanza,
Jumamosi alikuwa Arusha,
Jana alikuwa Zanzibar,
Leo yuko Morogoro,
probably kesho atakuwa Dodoma na kesho kutwa inawezekana akawa Bukoba wiki inakatika.
 
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU, unaofanyika leo Januari 26, 2026.

Salaale.
Mla rushwa anafungua mkutano wa Rushwa huu ni Utani?
Huyu anapokea rushwa cash Tena usiku
 
Back
Top Bottom