Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Alhamis alikuwa Singida,Hizi safari za Mwigulu karibu kila siku kila mahali, sio utaratibu mzuri wa kiafya.
Anatakiwa kujipa space ya walau siku moja, na sio kuunganisha matukio kama anavyofanya, atakuja kudondoka kwa fatigue.
Anajitahidi kufill vacuumAlhamis alikuwa Singida,
Ijumaa alikuwa Mwanza,
Jumamosi alikuwa Arusha,
Jana alikuwa Zanzibar,
Leo yuko Morogoro,
probably kesho atakuwa Dodoma na kesho kutwa inawezekana akawa Bukoba.
Salaale.WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU, unaofanyika leo Januari 26, 2026.