Uchaguzi 2020 Dkt. Mwigulu akalia kuti kavu Jimboni, kuna kila dalili hatorudi, Jesca Kishoa amkalia kooni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa mpya inayovuma huko Iramba , kwamba Uwezekano wa Mwigulu Nchemba kurudi bungeni kwa njia ya kura ni kama haupo , Jessica Kishoa kishamkalia kooni , tangu njama za kumuengua Jessica kwa kutumia tume ya uchaguzi zilipobuma upepo ukageuka jumla , ama kwa hakika hakuna marefu yasiyokuwa na Ncha !

Picha hii hapa chini ya mkutano wa kata ya Ndago ni sehemu ndogo tu ya hali ilivyo hadi sasa

 
Hata kwa Magu mlisema hivyo hivyo, sasa hi I mnapelekwa mchakamcham...
 
Utajiri wa nchi, fedha za nchi ni mali ya wananchi. Chama kilichopo madarakani kinatakiwa kusimamia utajiri, kuuendeleza na kusimamia matumizi ya fedha za wananchi na sio kuzifuja au kujinadi kama za kwao.
 
Alijua atakuwa mbunge wa viti maalum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…