Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hawa wanafunzi anaohutubia ni wapiga kura?!Mwigulu amekosa kibali cha wananchiMwigulu hata asipofanya kampeni atashinda kwa kishindo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wanafunzi anaohutubia ni wapiga kura?!Mwigulu amekosa kibali cha wananchiMwigulu hata asipofanya kampeni atashinda kwa kishindo
Hawa wanafunzi anaohutubia ni wapiga kura?!Mwigulu amekosa kibali cha wananchiView attachment 1589676
Mkuu Erythrocyte nilikuwa namwambia Huyu jamaa anayesema Mwiguli anapita bila kupiga kampeni kwamba maneno kama hayo waliwahi kusema huko nyuma kuwa Magu atapata kura bila kampeni ila upepo umewageukia Lissu anaipeleka ccm na Magu mchakamchakam
Kila la kheri jesca, upate ubunge uwe na hela ukamtunze tumbili wako huko
Umejibu swali nililokuuliza?Nyie mnaoshinda jf mkiitwa wajinga msikatae
Nyie ndio mnamwambia lissu atashinda urais
Ingieni field mpige kazi mpate uhalisia acheni uvivu
Nakuambia leo lissu akikupatieni hata wabunge wawili mkatambike
KweliMwigulu hata asipofanya kampeni atashinda kwa kishindo
Hapo CCM ndani ya chama kwenye kura za maoni alipita kwenye Tundu la sindanoMwigulu hata asipofanya kampeni atashinda kwa kishindo
Hapo CCM ndani ya chama kwenye kura za maoni alipita kwenye Tundu la sindano
Sasa mtukufu magufuli anapigiwa kampeni na IGP na mkurugenziccm wa Tumeccm na bado hawajiamini wanapanga kuiba kura zaidiMkuu Erythrocyte nilikuwa namwambia Huyu jamaa anayesema Mwiguli anapita bila kupiga kampeni kwamba maneno kama hayo waliwahi kusema huko nyuma kuwa Magu atapata kura bila kampeni ila upepo umewageukia Lissu anaipeleka ccm na Magu mchakamchakam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila la kheri jesca, upate ubunge uwe na hela ukamtunze tumbili wako huko
Kupita bila kupingwa ndiyo mbinu ya kishamba kishetani iliyosalia Tanzania tu hakuna Nchi watakubali ujinga wa kupita bila kupingwa kwa njia haramu za kishetaniAlijua atakuwa mbunge wa viti maalum
Eti nguvu ya ushawishi? Ushawishi upi? Kuwabambikia watu kesi kesi kuwapiga wapinzani risasi ni ushawishi? Umarufu upi umeongezeka kila uchao? au umarufu wa kutafuna trilion 1.5 na 10% ununuzi wa Ndege kisha kumtoa CAG kafara?Wako watu ambao wana wasiwasi mkuu juu ya nguvu na ushawishi/umaarufu wa JPM unavyo ongezeka kila uchao. Jambo hili linawakosesha amani mno. Moja ya mikakati yao ni kujaribu kupiga vita JPM asizungukwe na watu strong. Ndio maana utaona watu kama Bashiru, Mwigulu etc wanarushiwa madogo.
Sasa ngoja ni wakere, hivi mwajua Bashiru is the presidential material in a making?!
Kitu kinaitwa kupita bila kupingwa ndiyo ushetani Hatari kuliko uchawi wote DunianiKwa kuepuka aibu Nape, January na Majaliwa Kassim Majaliwa walijiwahi kwa kunyonga uchaguzi.
Mwigulu bila uchakachuaji bila wizi wa kura hana chake hapoHawa wanafunzi anaohutubia ni wapiga kura?!Mwigulu amekosa kibali cha wananchiView attachment 1589676
Nani ataamini taarifa Zako wewe?Mwigulu alishinda kwa tofauti ya kura miatano
Nyie vijana wa Chadema mtajinyonga sana mwaka huu