Uchaguzi 2020 Dkt. Mwigulu akalia kuti kavu Jimboni, kuna kila dalili hatorudi, Jesca Kishoa amkalia kooni

Wanyiramba wanamheshimu na kumwamini sana Mwanamke kuliko Mwanaume linapokuja suala la kipaumbele.. Mkiwa Kaka na Dada kwenye familia, Mtoto wa Dada anakubalika zaidi kuliko Mtoto wa Kaka. Wanyiramba wanaamini Mwanamke hasingiziwi Mimba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…