Dkt. Mwigulu akaribisha wawekezaji katika kilimo Tanzania

Dkt. Mwigulu akaribisha wawekezaji katika kilimo Tanzania

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
DKT. MWIGULU AKARIBISHA WAWEKEZAJI KATIKA KILIMO TANZANIA

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewakaribisha wawekezaji kutumia fursa zilizopo Tanzania katika uzalishaji na usindikaji wa mazao, umwagiliaji, pembejeo, uhifadhi, mifugo na uvuvi.

Akihutubia Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Marekani, Oktoba 22, 2026, amesema Serikali inaendelea kuimarisha miundombinu ya usafiri na nishati ili kuwezesha uzalishaji, usindikaji na upatikanaji wa masoko.
 
Back
Top Bottom