Dkt. Mwigulu anapendelewa

Dkt. Mwigulu anapendelewa

Mnambua

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2020
Posts
246
Reaction score
233
Dkt. Mwigulu Nchemba anavyopendelewa na uongozi wa CCM Wilaya na Mkoa inaweza kabisa kutuponza CCM Iramba tukapoteza kwa upinzani. Nasema kweli kabisa

CCM wametoa maelekezo wagombea wote wapewe majina ya wajumbe wapiga kura ikibidi na namba zao ili wafanya nao mawasiliano ya kuomba kuungwa mkono inapotokwa wanapigiwa kura. Sasa hapa kilichotokea wachukua fomu wengine wote wamenyimwa majina na namba za simu za wajumbe wapiga kura

Amebaki Mwigulu tu peke yake ndiyo anatuma mimeseji na kuwapigia simu wapiga kura watarajiwa. Hii ni mbaya sana sana inatukatisha tamaa sisi washindani wa Dkt. Mwigulu kwa kiasi kwamba tunafikira hata kuhamia upinzani.

Sio mbaya zimebaki siku chache tupige kura - kama CCM hamchukui hatua ukweli mtauona kama mtapa Dkt. Mwigulu Nchemba nafasi. HATUKUBALI KAMWE! Amezoea kutuibia
 
Mekuwa nkiona jina lake kwenye mawe .... usafiripo kutoka DSM kwenda Mwanza.... yaliandikwa 2015
 
acha kulia lia pambaneni hiyo ndio Democrasia tuliyoitaka
 
Mkuu msipaze sauti kubwa mkasikika, inawapasa mchati mtu asisikie.
 
Si mnatengeneza CV ili mpate uteuzi sasa mnalialia nini? Subirini uteuzi MATAGA nyie.
 
Back
Top Bottom