Dkt. Mwigulu anapendelewa

Dkt. Mwigulu anapendelewa

Jesca Kishoa yupo cdm msife moyo,kura zote mpigieni Jesca
 
Mwigulu ni master mind katika kusaka tonge la kuchaguliwa.bado najiuliza hili jina lake ambalo liliandikwa 2015 kwenye madaraja tz nzima.
 
alishawatahadharisha kuwa kuutamani ubunge wa hilo eneo ni sawa na kujiingiza kina kerefu chenye mamba wakali

Sasa nyie endeleeni kupambana na mamba.
 
Dkt Mwigulu Nchemba akishinda itakuwa ni kwa sababu wa wapiga kura wale wasiobadilika na hasa wale maskini ambao wanaishi nyumba za tembe na anaowanunulia pombe. Bei ya pipa la pombe Iramba ni shilingi laki moja na nusu- Ina maana Dkt Mwigulu akinunua mapipa mawili ya pombe kwa kila kijiji tayari ana wapiga kura wengi. Kwa hakika kwa jimbo la Iramba analotoka Dkt. Mwigulu hamna watu makini na waliosoma wanaomkubali. Napafahamu Iramba nilipoanzia kazi na bahati nzuri nimeoa huko Dkt. Mwigulu kwa sasa hana jipya wa Wanyiramba anawatumia kama ngazi tu ili kutimiza azma yake, ubunge kwake sio kitu tena!
 
Watu awawezi tumia muda na hela kuwaanda viongozi wa kesho halafu wawapoteze kirahisi kisa democracy.

Uchaguzi ua auko fair majimbo yote; mengine uwa gombania na baadhi kama kuna mgombea wa chama tegemea kila aina ya foul mgombea wao ashinde.
 
Alishawapa onyo msijaribu kumchezea mamba kwenye kina kirefu cha maji,huyo ni MAMBA
 
Kwani hayo yameanza leo?. yaani wewe kupewa majina na namba za Wajumbe (Wapiga kura) wewe umeona sababu ni kuwapigia na kuwaomba kura?.
 
Write your reply...leo ndio mnajua hilo sisi tumezoea hayo nakila tukilia huwa mnatucheka na kusema "tumewachoka mnalialia sana wapinzani"sasa pambaneni na maisha yenu mlio yazoea
 
Back
Top Bottom