Dkt. Mwigulu anaweza kuwa mzalendo namba 3 baada ya Nyerere na Magufuli, tumtafakari kwa 2030

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimemsikiliza Katika hotuba yake ya Maono ya 25 - 50 na jinsi alivyoelezea 00 - 25 naona anatembea mule mule mwa Baba wa Taifa mwalimu Nyerere na Shujaa Magufuli yaani Miundombinu, Afya na Elimu

Tuzidi kumuombea dhidi ya Wachawi, Washirikina na Wazandiki wote

Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka!
 
Kwa nyakati hizi, dunia nzima kipaumbele ni " uchumi tu". Mwanasiasa asikuambie madarasa ndo maendeleo, maana ujenzi wa madarasa Afrika hauishi, hivyo uendelee lakini usiwe kipaumbele miaka nenda rudi. Uchumi bora ndio ukombozi wa Mwafrika kielimu, na kiafya.
 
Huyu ambaye ananuka damu za viroba vya watu bahari ya Hindi na mto Rufiji😎
 
Usituone sisi ni mapoyoyo.. huyu wa kuwaambia watu wahamie burundi..

Ni mbinafsi na mchumia tumbo mkubwa tu.
 
Nimemsikiliza Katika hotuba yake ya Maono ya 25 - 50 na jinsi alivyoelezea 00 - 25 naona anatembea mule mule mwa Baba wa Taifa mwalimu Nyerere na Shujaa Magufuli yaani Miundombinu, Afya na Elimu

Tuzidi kumuombea dhidi ya Wachawi, Washirikina na Wazandiki wote

Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka!
Muogopeni mtu anataka kwenda ikulu.. JK
 
Nimemsikiliza Katika hotuba yake ya Maono ya 25 - 50 na jinsi alivyoelezea 00 - 25 naona anatembea mule mule mwa Baba wa Taifa mwalimu Nyerere na Shujaa Magufuli yaani Miundombinu, Afya na Elimu

Tuzidi kumuombea dhidi ya Wachawi, Washirikina na Wazandiki wote

Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka!
Watoto wanasoma Feza...

Anajenga Nchi kwa Fedha za Tozo na Mikopo

Kashindwa kutumia Rasilimali za Nchi kujenga Nchi

Tukimpa Nchi anaweza kupeleka Tozo wa Masikini na kusema anajenga Nchi
 
Nimemsikiliza Katika hotuba yake ya Maono ya 25 - 50 na jinsi alivyoelezea 00 - 25 naona anatembea mule mule mwa Baba wa Taifa mwalimu Nyerere na Shujaa Magufuli yaani Miundombinu, Afya na Elimu

Tuzidi kumuombea dhidi ya Wachawi, Washirikina na Wazandiki wote

Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka!
Ulaaniwe Jo
 
Huyo baba Tozo, au mzee wa Trat na Trab, alisema watu wahamie Burundi, huo uzalendo anao kuanzia lini???

Msituchefue watu hapaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimemsikiliza Katika hotuba yake ya Maono ya 25 - 50 na jinsi alivyoelezea 00 - 25 naona anatembea mule mule mwa Baba wa Taifa mwalimu Nyerere na Shujaa Magufuli yaani Miundombinu, Afya na Elimu

Tuzidi kumuombea dhidi ya Wachawi, Washirikina na Wazandiki wote

Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka!
Magufuli alikuwa mzalendo?
 
Huyo Mnyiramba mwenzangu atatuvusha

Apewe nafasi
 
Nimemsikiliza Katika hotuba yake ya Maono ya 25 - 50 na jinsi alivyoelezea 00 - 25 naona anatembea mule mule mwa Baba wa Taifa mwalimu Nyerere na Shujaa Magufuli yaani Miundombinu, Afya na Elimu

Tuzidi kumuombea dhidi ya Wachawi, Washirikina na Wazandiki wote

Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka!
Mwigulu Nchemba ni mwizi. Wizi unam disqualify kwenye sifa ya uzalendo
 
Back
Top Bottom