All truth23
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 1,215
- 1,401
Naona unajiandaa Ila hongera SANA maana hujachelewaNimemsikiliza Katika hotuba yake ya Maono ya 25 - 50 na jinsi alivyoelezea 00 - 25 naona anatembea mule mule mwa Baba wa Taifa mwalimu Nyerere na Shujaa Magufuli yaani Miundombinu, Afya na Elimu
Tuzidi kumuombea dhidi ya Wachawi, Washirikina na Wazandiki wote
Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka!