Dkt. Mwigulu anaweza kuwa mzalendo namba 3 baada ya Nyerere na Magufuli, tumtafakari kwa 2030

Naona unajiandaa Ila hongera SANA maana hujachelewa
 
Kipara nae anaweza kua mzalendo kuliko hata Magufuli kwiiikwiiikwiii
 
2030 ni mbali sana. Mpeni 2025 ili tujitawale
 
We jamaa hua naona watu wanakutukana leo ndo nimejua kwa nini
 
Huyu nadhani ni mmoja kati ya vigogo wanne waTanzania wanaotafutwa na FBI.
 
Huwa mnapata faida gani ya kuwa chawa mkuwa vijana wadogo sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…