Dkt. Mwigulu anazungumza na machinga, madereva pikipiki na bajaji

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—‘π—”π—­π—¨π—‘π—šπ—¨π— π—­π—” 𝗑𝗔 π— π—”π—–π—›π—œπ—‘π—šπ—”, π— π—”π——π—˜π—₯π—˜π—©π—” π—£π—œπ—žπ—œπ—£π—œπ—žπ—œ 𝗑𝗔 π—•π—”π—π—”π—π—œ

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo 08 Januari 2026, anazungumza na Wamachinga pamoja na madereva wa pikipiki na bajaji za kubeba abiria katika kongamano la mwaka linafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

Kongamano hilo limewakutanisha wadau wakuu wa sekta ya wamachinga na usafirishaji wa pikipiki na bajaji, kwa lengo la kujadili na kutafakari mustakabali wa sekta hizi katika mchango wake kwa maendeleo ya jamii na uchumi wa Taifa.


 
Leo hao bajaj na bodaboda wameruhusiwa kuweka mafuta full tanks au wameuziwa robo lita kila mmoja?
NB:Bila shaka watakiwa wamepewa hela ya "mafuta"!
 
well done PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…