Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma leo, Jumatatu, Novemba 2, 2026.
Dkt. Mwigulu, ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma, ameongoza kikao hicho katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Kigoma.