PostGE2025 Dkt Mwigulu apokelewa ofisi ya waziri mkuu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
MHE. DKT MWIGULU APOKELEWA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akipokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma Novemba 13, 2025.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na kuthibitishwa na bunge.

IMG-20251113-WA0028.jpg
IMG-20251113-WA0029.jpg
IMG-20251113-WA0030.jpg
 
MHE. DKT MWIGULU APOKELEWA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akipokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma Novemba 13, 2025.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na kuthibitishwa na bunge.

View attachment 3501447View attachment 3501448View attachment 3501449
Nchi ya wanafiki..nyinyi watumishi wa serikali mkiendelea na unafiki wenu wa bora mkono uende kinywani, hadi hapa nyinyi ni motoni tu! waziri mkuu kwa uchaguzi upi..?
 
Back
Top Bottom