Dkt. Mwigulu ashiriki hafla ya jioni iliyoandaliwa na Rais Putin, Moscow

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika hafla ya jioni iliyoandaliwa kwa ajili ya viongozi, wanaoshiriki Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika. Halfa hiyo imefanyika katika Ikulu ya Kremlin, Moscow nchini Urusi.

Dkt. Mwigulu amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo unaofanyika Oktoba 28 na 29, 2026, wenye lengo la kuwakutanisha viongozi wa Afrika na Urusi kwa ajili ya kujadili masuala ya kiuchumi, usalama, Sayansi na Teknolojia pamoja na masuala mengine ya kijamii.

Soma pia

View attachment 3700618
Habari za kiboya kabisa hizi
 
Ina tija gani hiyo ziara kwa wananchi wa Iramba??
Zaidi ya kula kwa urefu wa kamba yake kwa mujibu wa maelekezo ya Dr Dr Dr Dr Samuya
 
Mwigulu akirudi akaguliwe hachelewi kununua sumu kuja kuangusha jitu aukwae unahodha
 
Back
Top Bottom