Dkt. Mwigulu asiporekebisha hali ya uchumi tutegemee ongezeko la chawa kwenye vyama vya siasa

Dkt. Mwigulu asiporekebisha hali ya uchumi tutegemee ongezeko la chawa kwenye vyama vya siasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni lazima tuelewe uwepo wa CHAWA hautokani na Itikadi bali hali ngumu ya Maisha inayosababushwa na unemployment

Unaweza kuniuliza mbona Mwijaku ni tajiri mwenye Magari na Nyumba ya ghorofa lakini ni CHAWA

Jibu ni rahisi tu kwamba kama Mwijaku ni CHAWA tajiri basi ule siyo utajiri bali ni " gharama ya Uchawa"

Niwaombe sana Mawaziri Pacha Prof Kitila na Dr Mwigullu wajitahidi kuimarisha Uchumi wetu Ili vijana wa kiume wapate Kazi za kufanya kama zilivyo Mila, Desturi na Utamaduni wetu

Dominica Njema 😄
 
Na chawa ndio wanashawishi viongozi kumtumia yule naniliu kuteka na kuua watu ili waendelee kula hela za kibwege
 
Back
Top Bottom