Ni lazima tuelewe uwepo wa CHAWA hautokani na Itikadi bali hali ngumu ya Maisha inayosababushwa na unemployment
Unaweza kuniuliza mbona Mwijaku ni tajiri mwenye Magari na Nyumba ya ghorofa lakini ni CHAWA
Jibu ni rahisi tu kwamba kama Mwijaku ni CHAWA tajiri basi ule siyo utajiri bali ni " gharama ya Uchawa"
Niwaombe sana Mawaziri Pacha Prof Kitila na Dr Mwigullu wajitahidi kuimarisha Uchumi wetu Ili vijana wa kiume wapate Kazi za kufanya kama zilivyo Mila, Desturi na Utamaduni wetu
Dominica Njema 😄